Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Kwa hiyo hapo ndio upo njia panda? Huwa mnanichekesha sana nyie madogo mnajiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi wakati umri wenu bado mdogo, mnafikiri mapenzi ni ule utamu wa sambusa na karoti kumbe kuna vitu vingine vya ziada.
Wewe kama umeshafikiria kumuacha, muache tu mtoto wa watu kwa amani. Haiwezekani upo kwenye mahusiano na mtoto wa watu ambaye unajidai bado unampenda sana kwa miaka miwili, leo unakuja na hichi kituko, hujui nini unachokitaka.