Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Habari za weekend Wakuu!
Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo.
Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo jina la Tundu Lisu.
Then, nitaandika kijitabu cha riwaya ambacho kitaenda Kwa Jina Simba Tundu Lisu.
Ujûmbe na màtukio nitavipata baàda ya kupata abc za huyo Simba.
Kisha riwaya itaishia pale àmbapo Simba Tundu Lisu aliyekuwa bandani, kukutana na Malkia Mwanamke aliyemtoa bandani Kwa kupenda machachari yake.
Kisha Malkia Mwanamke atampa majukumu simba Tundu Lisu kuleta machachari katika kasri lake na ûtawala wake.
Ukali wa Simba Tundu Lisu nimeshindwa kuukadiria, huu NI Mpaka nifike nishuhudie mwenyewe
Ila najiuliza Ukali WA Simba Tundu Lisu aliyebandani unasababishwaga na Jambo gàni?
Je Njaa?
Je kuchokozwa?
Je kuonewa au kuona Wanyama wengine waliomo bandani wakionewa?
Je Simba Tundu Lisu hujisikiaje akiona Mbwa aina ya German shepherd wakiambatana na Malkia?
Hayo yôte nitayauliza Huko.
Safari ya Zanzibar kunoga.
Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Mbioni kukabili Stone town, Zanzibar