Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.

Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A

Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu basi leo ndiyo naenda kutambulishwa huko ukeni Kondoa Dodoma nipo na Mark x yangu mpya new model namba E.

Sema tumechelewa kufika maeneo kwa sababu kulikuwa na foleni pale Mbezi ya Kimara asubuhi hii daah nilikerekwa balaa wakuu.

Hopefully next year tumepanga kufunga ndoa takatifu nitachagua either kwao Kondoa au nyumbani kwenye ukoo wa Kimaro mkuu.

Wakuu nawaambia humu Jamii forus kuna wife material nyie vijana kaeni tu kuwananga mabinti wa humu ila kaeni mkijua humu kuna mawife material wakuu.

My love miss A nakupenda na nitakupenda daima. Mwenye wivu ajinyonge.

" love 😍 is beutiful thing"
Terminer monsieur el mademoiselle

Pia soma: Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba
 
Mkuu, ukeni? taratibu aisee,,,edit msg yako acha mambo ya bonjour hapa
 
Jamani hongera sana.kila la kheri ..Mungu aliyekupa wewe akanipe na mimi...
 
Miss A si anaishi buzza kama namjua vile
 
Mungu awabariki muishi kwa upendo wa agape
 

Attachments

  • img_2_1661473221933.jpg
    9.8 KB · Views: 9
Kwa mapenzi haya haya ninayoyajua mimi, ama siku hizi yamebadilika?
 
Mkuu naomba uni Dm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…