Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

Niko hapa nakungoja kwaajili ya ushauri maana maneno ya sijui wife material au future wife hayana muda Sana yatapotea tu.
 
Hata mwaka bado ushamuona ni wife material

By the way siku akikuvuruga usikose kutuomba ushauri
Haya maisha ya ajabu sana. Kijana anaweza kupotea

Courtship nadhan inabidi ichukue angalau mwaka, uweze kumsoma mwenzako kwenye states zote anazoweza kupitia. Na kwenye huo mwaka miezi ya mwisho mwisho ndo ya muhimu, then unamsurprise na ndoa kama bado katulia
 
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.

Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A

Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu basi leo ndiyo naenda kutambulishwa huko ukeni Kondoa Dodoma nipo na Mark x yangu mpya new model namba E.

Sema tumechelewa kufika maeneo kwa sababu kulikuwa na foleni pale Mbezi ya Kimara asubuhi hii daah nilikerekwa balaa wakuu.

Hopefully next year tumepanga kufunga ndoa takatifu nitachagua either kwao Kondoa au nyumbani kwenye ukoo wa Kimaro mkuu.

Wakuu nawaambia humu Jamii forus kuna wife material nyie vijana kaeni tu kuwananga mabinti wa humu ila kaeni mkijua humu kuna mawife material wakuu.

My love miss A nakupenda na nitakupenda daima. Mwenye wivu ajinyonge.

" love 😍 is beutiful thing"
Terminer monsieur el mademoiselle

Pia soma: Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba
Edit hapo
 
Mleta mada umepewa papuchi na kufinyiwa ndani basi ndio umempa sifa kuwa wife material,vijana mna haraka sana ya maisha.
 
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.

Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A

Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu basi leo ndiyo naenda kutambulishwa huko ukeni Kondoa Dodoma nipo na Mark x yangu mpya new model namba E.

Sema tumechelewa kufika maeneo kwa sababu kulikuwa na foleni pale Mbezi ya Kimara asubuhi hii daah nilikerekwa balaa wakuu.

Hopefully next year tumepanga kufunga ndoa takatifu nitachagua either kwao Kondoa au nyumbani kwenye ukoo wa Kimaro mkuu.

Wakuu nawaambia humu Jamii forus kuna wife material nyie vijana kaeni tu kuwananga mabinti wa humu ila kaeni mkijua humu kuna mawife material wakuu.

My love miss A nakupenda na nitakupenda daima. Mwenye wivu ajinyonge.

" love 😍 is beutiful thing"
Terminer monsieur el mademoiselle

Pia soma: Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba
..ok..uke mwema..enjoy uke huo...angalia tu usizame sana chumvini...kuna kansa za koo sana siku hizi..kwa wala uke..
 
Back
Top Bottom