Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

Kama mkeo ni mrangi jua umetuolea .......maana tutamloweka mpaka hiyo mark X yako uione bito
we kabila gani, wanawake wa kabila lako hawalowekwi? Acheni ukabila, acheni kutukana, kukebehi, kudharau binadamu wenzenu kwa misingi ya ukabila, hiyo dhambi kubwa. Tabia haina kabila, kila kabila kuna wezi, malaya, wachawi, kuna watu wazuri vilevile. Avoid those shits. Nachukia sana mtu anambagua mwenzie kwa msingi wowotw ule. Mstaarabikage. Mnakera.
 
Ngoja umuoe mkianza maisha halisi ya ndoa ndo utajua ni wife material au vipi? Ila hongera sana kwa hatua uliyofikia mkuu
 
Picha please
 
Jiandae kuwa chakula ya wote kama ana Dada zake au wadogo zake wa kike, hawana shida wanagawana upendo. Tena anakwambia msaidie ndugu yangu ana hamu, makabila mengine raha sana
 
Jiandae kuchapiwa na ukoo mzima !

Hard to take it, sorry kwa jamii husika !
 
Pole mrangi
 
Vina muda BasiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siku hazigandi kama ni kondoa ipo siku utakuja na thread ingine lets wait
 
DANGA limeingia mzima mzima
 
Umepata au umepatikana? We oa sisi tutakusaidia kumzalisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…