Bado najiuliza umuhimu wa kichwa juu ya uo mwil wako. Masters za kukalil hizKweli wajinga hawaishi duniani! Kuna uhusiano gani kati ya kuwa na master's na j3 kuwa uraiani? Kwani uliambiwa kila mwenye master's hana likizo?
Unapenda Hogo au kibamia?Kama kichwa kinavyojieleza.
Niulize chchte kuhusu mimi ..karibuni
Sitarajii kupenda tena, sina imani tena na watu wa jinsia hii, sina mpango wa kuwa na mahusiano tena ..hizi ni kauli ambazo mimi huwa naona ni za kinafiki tu na mara nyingine huwa zinatumika kama chambo na kuvuta attention
Kuudanganya moyo kunaitwa
Je unafikiri/ unapendekeza njia inayofaa kutumika kukabiliana na ushoga ni ipi?Binafsi naona huyu aliyelianzisha hakuwa sahihi kwasabb hakutumia njia inayofaa zaidi ya kuwachafua aliyowakusudia kwasababu anazojua yeye
Sijambo mwenza. Za maternity?Sanaa..hujambo lakini mwenza
Hahaa nzuri...Sijambo mwenza. Za maternity?
Mh
Umeanza linii kupenda chura
Dah kweli konki konki konki mambaKwanini kwenye avatar yako umetugeuzia matako? Na je? unamjua konki....konki.... Konki Master?
Unataka kusoma stori za vimoto vinaunguza🤣🤣Moniii mm nimemiss tu thread zako ebu fanya umrudishe monica yulee
Umesema wewe huwa unaona za kinafki , huo ni mtazamo wako , pengine uliyempata ulitumia mbinu hiyo ndiyo maana unadhan kila anasema hivyo anania kama yako. Binafsi namaanisha nilikisema , hakuna jambo jipya hukoSitarajii kupenda tena, sina imani tena na watu wa jinsia hii, sina mpango wa kuwa na mahusiano tena ..hizi ni kauli ambazo mimi huwa naona ni za kinafiki tu na mara nyingine huwa zinatumika kama chambo na kuvuta attention
Sasa mbona ukiulizwa maswali mengine unasema hayatuhusu kujua? Unaposema "Niulize chochote kuhusu mimi"Ili upate kujua chchte kuhusu mm
Ina maana humu form four graduate nipo peke yangu tu?Hongera kwa kutunukiwa Master's