Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Kweli wajinga hawaishi duniani! Kuna uhusiano gani kati ya kuwa na master's na j3 kuwa uraiani? Kwani uliambiwa kila mwenye master's hana likizo?
Bado najiuliza umuhimu wa kichwa juu ya uo mwil wako. Masters za kukalil hiz
Kwa maana ata majbu unayotoa hayaendan na elimu ya form six (achilia mbal masters)
Single mothers mna-stress sana. Katka angle niliyokaa nakuona kama special group unaoitaj msaada wa jamii iliyokuzunguka.
 
Kuudanganya moyo kunaitwa
Sitarajii kupenda tena, sina imani tena na watu wa jinsia hii, sina mpango wa kuwa na mahusiano tena ..hizi ni kauli ambazo mimi huwa naona ni za kinafiki tu na mara nyingine huwa zinatumika kama chambo na kuvuta attention
 
Binafsi naona huyu aliyelianzisha hakuwa sahihi kwasabb hakutumia njia inayofaa zaidi ya kuwachafua aliyowakusudia kwasababu anazojua yeye
Je unafikiri/ unapendekeza njia inayofaa kutumika kukabiliana na ushoga ni ipi?
 
Sitarajii kupenda tena, sina imani tena na watu wa jinsia hii, sina mpango wa kuwa na mahusiano tena ..hizi ni kauli ambazo mimi huwa naona ni za kinafiki tu na mara nyingine huwa zinatumika kama chambo na kuvuta attention
Umesema wewe huwa unaona za kinafki , huo ni mtazamo wako , pengine uliyempata ulitumia mbinu hiyo ndiyo maana unadhan kila anasema hivyo anania kama yako. Binafsi namaanisha nilikisema , hakuna jambo jipya huko
 
Ili upate kujua chchte kuhusu mm
Sasa mbona ukiulizwa maswali mengine unasema hayatuhusu kujua? Unaposema "Niulize chochote kuhusu mimi"
Basi uwe tayari kujibu kila swali ambalo muulizaji anataka kujua kuhusu wewe,usikwepe baadhi ya maswali.
 
Back
Top Bottom