Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Mimi nataka tupinge urafiki na wewe,
je upo mkoa gani monica?
Nije pm? Kwa mawasiliano zaidi?
Ila kazi yangu nauza maji kwenye mkokoteni.
 
Kama kichwa kinavyojieleza.
Niulize chchte kuhusu mimi ..karibuni
Unamtazamo gani kuhusu KONKI, KONKI, KONKI MASTER, DUDUBAYA, OIL CHAFU, MAMBA, KIBOKO YA MANGE wewe unaonaje juu ya tukio lake la week iliyopita
 
kwa nini Tanzania ni masikini wakati ipo kwenye top 5 kwa raslimali Africa?

atuletee abstract isiyozidi 100 words!!
Afu akimaliza utampa PhD? Kama rais Na profesa paramagamba kabudi hawana Jibu itakuwa kwa huyu mtoto wa kike mwenye majibu mepesi kama Kamasutra?

Unapaswa kumuuliza Kama anaijua style ya kitandani ya popo kanyea mbingu? Basi! Hii ndio arena yake.
 
Back
Top Bottom