Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini uliachika?Niliolewa nikaachika
Teh teh teh!Hahahahaa.. nimeficha nisijulikane sana. Nafuata maelekezo ya kutumia avatar zetu au zinazoendana na sisi. Sasa hiyo ni mimi nimeficha sura ya baba tu hapo
....Si amesema tumuulize maswali!Daaaah.. huko si kukomoana lakini
Sawa sawa, basi kila la heri!Nina mtoto mmoja wa kiume
Teh teh teh!
Mimi nataka picha bwana eeeh!
A4 kama tulivyokubaliana siku ile basi, nipe sababu ya kwenda mnadani kuuza ng'ombe basi!
Hapana siwezi kukupa namba kwasababu sina mpango wa kuwa na mahusiano tena.
Hahhahaha,Picha si hiyo hapo avatar lakini Malcom? Hiyo huwezi amini sina inayonionyesha sura. Yenye sura iko instagram. Hiyo hata kwenye simu yangu iko hivyo
Huna mpango wa kuolewa tenaNiliolewa nikaachika
Akijibu nitagUna miaka mingapi?
hutaki mahusiano ila unacontrol vipi ashki majnuni?
kwanini hutaki tena mahusiano?