NIPO PORINI WEWE JE???

NIPO PORINI WEWE JE???

Tulienda asubuhi,, mishemishe za kurud ikatuplka mpk jion nd tukatok nje ya pori,,, alafu kibaya pori lenyew ni ilkua mliman ikaja smog ikatanda so tukawa mbele hatuoni tukawa tunatmbea km vipofu tutakapokanyaga sawa tuu,,, sitosahau kwakwel ilivkua
Jaribu usiku sasa.
 
Hapana Mkuu we endlea tu kuwa mlinzi wa chatu uko porini ulipo,, ila mimi kwa kazi niliyokula sina hamu tena na kwenda sehemu nisizozijua……!!!
Hahaha hizi nafanya nikiwa sina doubt moyoni
 
uko pori gani unachat siku mbili na unapata uhakika wa charge.

usikute uko kichakani unasema uko porini chunga ndugu wasikupeleke mirembe wakihisi umechanganyikiwa.
 
uko pori gani unachat siku mbili na unapata uhakika wa charge.

usikute uko kichakani unasema uko porini chunga ndugu wasikupeleke mirembe wakihisi umechanganyikiwa.
[emoji3][emoji3] tech, inaenda kasi sana , hujui matumizi ya vifaa vya solar?? Bettry ya ziada, huwepo wa generator n. K fikiria uwepo wa hivi vitu kwanza mdau
 
Nipo kwenye meli moja kubwa ya uvuvi navua samaki... Kuna matenki yamejaa samaki wakubwa wakubwa... Tupo na wenzangu tunachambua nyavu ili zirudi majini...
Nmekubali, hustle mzee baba
 
Habari bila picha/video clip sawa na taka taka tu
 
Kaka mshana njo utufafanulie hiki maana yake nini?
 
Back
Top Bottom