Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu usiku sasa.Tulienda asubuhi,, mishemishe za kurud ikatuplka mpk jion nd tukatok nje ya pori,,, alafu kibaya pori lenyew ni ilkua mliman ikaja smog ikatanda so tukawa mbele hatuoni tukawa tunatmbea km vipofu tutakapokanyaga sawa tuu,,, sitosahau kwakwel ilivkua
Hapana Mkuu we endlea tu kuwa mlinzi wa chatu uko porini ulipo,, ila mimi kwa kazi niliyokula sina hamu tena na kwenda sehemu nisizozijua……!!!Jaribu usiku sasa.
Nipo kwenye meli moja kubwa ya uvuvi navua samaki... Kuna matenki yamejaa samaki wakubwa wakubwa... Tupo na wenzangu tunachambua nyavu ili zirudi majini...Una mishe gan
So project yako ni ya muda gani mkuu…!!!Hahaha hizi nafanya nikiwa sina doubt moyoni
Nimeenda usik nmerudi asubuhiii
[emoji3][emoji3] tech, inaenda kasi sana , hujui matumizi ya vifaa vya solar?? Bettry ya ziada, huwepo wa generator n. K fikiria uwepo wa hivi vitu kwanza mdauuko pori gani unachat siku mbili na unapata uhakika wa charge.
usikute uko kichakani unasema uko porini chunga ndugu wasikupeleke mirembe wakihisi umechanganyikiwa.
[emoji41]chatu akikumeza tutaarifu tuje kukuokoa