Nipo serious kwa 100%(natafuta mume wa maisha)

Tulip1005

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
38
Reaction score
11
Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo.
1: awe tayari kwenda kupima UKIMWI
2:umri wa miaka 27-33
3:elimu, degree moja na kuendelea
4:a true Christian
5: any tribe(except mhaya)
6:honest and caring
7:hardworker
Na itakuwa vizuri zaidi kama atakuwa anaishi Dar.
 
Mie nakuombea kwa Mungu saana,upate wa vigezo hivyo,ongeza nawe bidii katika Kusali!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ayaaa tribalism hapo, ila hujawatendea haki wahaya japo mie si kabila hilo.
Pili, mambo ya digrii...loooh!
Kwa upande wa dini upo sawa, anyway ngoja wanakuja wachumba.
 
Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo.
1: awe tayari kwenda kupima UKIMWI
2:umri wa miaka 27-33
3:elimu, degree moja na kuendelea
4:a true Christian
5: any tribe(except mhaya)
6:honest and caring
7:hardworker
Na itakuwa vizuri zaidi kama atakuwa anaishi Dar.

nimwe ku PM naomba ingia in box
 
vigezo vingine vyote ninanvyo lakini umri wangu ni 35.... will you consider me????
 
Du hujawatendea haki, umetaja sifa za unaemtaka lakini mwenyewe hujajieleza ukoje.
Ok kila la kheri.
 
Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo.
1: awe tayari kwenda kupima UKIMWI
2:umri wa miaka 27-33
3:elimu, degree moja na kuendelea
4:a true Christian
5: any tribe(except mhaya)
6:honest and caring
7:hardworker
Na itakuwa vizuri zaidi kama atakuwa anaishi Dar.

Bahati zinanipita hivihivi, namisi kigezo kimoja tu hapo......ila kila la kheri
 
ase dah miaka ndo tatizo dada ila nakutakia kila la kheri sio bahati yangu Mungu atakupa mwenza
 
Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo.
1: awe tayari kwenda kupima UKIMWI
2:umri wa miaka 27-33
3:elimu, degree moja na kuendelea
4:a true Christian
5: any tribe(except mhaya)
6:honest and caring
7:hardworker
Na itakuwa vizuri zaidi kama atakuwa anaishi Dar.
Vigezo vyote ninavyo, na hiyo namba moja wala haina mjadala;ni lazima. Tatizo mimi nipo Mwanza, vipi twaweza fwanza mambo?.
 
Mm vgezo vyote nnavyo, ila dini yang n islam. Vp uko tayar kubadili? Elimu nina MA.
 
Back
Top Bottom