Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah umeenda msimu wa kibaridi.. ungeweka interest zako ungepata ushauri mzuri zaidi....
MUDA HUU PITIA PALE UBUNGO/AZAM UTAFUNE KUKU WA KIENYEJI KIDOGO... AU PALE CRDB/TRA KAMA UNAPANDA KIRIMA BAR UPANDE WA KULIA UNYWE MAZIWA MOTO YA NG'OMBE wa kienyeji.... uwe makini kutembea usiku sio mji salama sana na una matukio ya ajabu na wizi... kama umefikia lodge uwe makini usiache vitu vya thamani chumbani kuna wizi mno..hii uhusisha hata zile lodge kongwe na maarufu mfn. stanley... ukilala rum usitoe funguo kwenye tundu ya mlango watu wana funguo mbilimbili...
**waweza enda singida motel kwa wastaarabu
**aqua vitae
**.kesho mchana kama utakuwa hujafunga nenda town maeneo ya sokoni/msikiti wa kati au ulizia tu kwa josiah ukapige ndizi na mishikaki kaanga.... msosi mzuri ulizia singapore au safina restaurant(snacks)
Yes,jr me najua ni junior.Na mara nyingi jr huwa ni madume mkuu.
Me nipo maeneo wanasema yanaitwa Misuna.
Hii salamu nimeisikia maeneo fulani hivi,nilikuwa kitaa
umufaangaa?..
May be.. nilikuwa mtumishi wa serikali kwa miaka 3 nkahama hukoHaaaaaah we si ushamaliza kila kitu! Hadi kwa josiah kabisa kuna mdau kasema KBH hapo nadhani ameelewa!
Haaaaaaaah mi wazamani huwezi nifahamu banaaa
Nahisi unajua neno hilo tu!
Jifunze na hili wahanya urhe
Hahahaa..hiyo lugha ilinichemsha sana..nliishia kujua vitu basic tu.. na nlikuwa mtata kudai "masesa" kila nkienda shoping sokoni..
Nipo Singida leo.
Ni hilo tu usichukie,kama kuna mwenyeji naomba ajitokeze japo niufahamu mji wa Wanyaturu.
amucha uriii !!! hii ndio salamu yetu wanyaturu