Nipo Singida leo

Nipo Singida leo

Hata hivo baridi hainisumbui coz baridi niliyokumbana nayo wiki zilizopita pale home mbeya ni hatari sn.
Pako poa Singida,jana nilipita sehemu moja inaitwa Serengeti ktkt ya mji daaa palipendeza sn.
 
Kaka umenikuna sana,ndo hom huko me nipo Mwanza no pm utapata sato fresh mkuu

Hahahaa pamoja mkuu..ila nimehama singida this year january.. ahsante mkuu ningewachangamkia hao fish... SINGIDA POA SANA mi ilinishinda baridi tu..
 
daaaaaa safi sana kijana umefika kwa josiah kwa ndizi pale nice sana hiyo ndio sgd
 
Asante mkuu.
Hapo kwa huyo jamaa nimefika c pana ka-guest hapohapo?Jamaa ana nyama choma nzuri sn na ndizi.

Ewaaaaaah ndio hapohapo.. sasa kesho mwambie mwenyeji wako akusindikize ukanunue samaki wa bwawani (kindai au singidani)..ukaange uwaonje aaisee ni watamu balaa... huu uzi ungeuleta jana ningekushauri leo jumamosi uende mnadani (kisaki..mtamaa au njia ya arusha) ukataune nyama hadi uzitazame..mbuzi ubavu mzima elf16 toptop.. kama utafika jmosi ijayo fanya uende mnada mmoja wapo
 
Tembelea pia ofisi za Makamanda wa CHADEMA,zipo maeneo ya manispaa na NMB upande wa pili.ulizia progress ya ukombozi ikoje.
 
Back
Top Bottom