OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hahahaaaa, we endelea tu!
ni kweli mkuu,taadhali muhimu,maana unaweza chochea kuni na moto ukawaka,ikawa noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa, we endelea tu!
we wa mkoa gani,mbona unatutukana,kwa taarifa yako mji tumeujenga wenyewe
wachaga ndio wameujenga na wanaendelea kuujenga huu mkoa. na wageni..
Singida kuna Kuku wa kienyeji bwana! Napamisi kweli, ukienda Kiomboi ndio balaa.
we wa mkoa gani,mbona unatutukana,kwa taarifa yako mji tumeujenga wenyewe
Makange na biriani vinapatikana huko? Nataka nifanye utalii wa ndani kwa akina TURU nikajionee mambo.Mimi nipo single usiku huu