Nipo Singida leo


Asante mkuu.
Hapo kwa huyo jamaa nimefika c pana ka-guest hapohapo?Jamaa ana nyama choma nzuri sn na ndizi.
 
Ila Vijana wengi wa Singida hawapendi kazi ngumu wanapenda laini laini tu.
 
Yes,jr me najua ni junior.Na mara nyingi jr huwa ni madume mkuu.
Me nipo maeneo wanasema yanaitwa Misuna.


Id za watu wengi wa JF zitakuumiza kichwa! We mgeni si eti? Mwenyeji wako ndo yupo misuna?
 
Haaaaaah we si ushamaliza kila kitu! Hadi kwa josiah kabisa kuna mdau kasema KBH hapo nadhani ameelewa!
Haaaaaaaah mi wazamani huwezi nifahamu banaaa
May be.. nilikuwa mtumishi wa serikali kwa miaka 3 nkahama huko
 
Nahisi unajua neno hilo tu!
Jifunze na hili wahanya urhe

Hahahaa..hiyo lugha ilinichemsha sana..nliishia kujua vitu basic tu.. na nlikuwa mtata kudai "masesa" kila nkienda shoping sokoni..
 
Hahahaa..hiyo lugha ilinichemsha sana..nliishia kujua vitu basic tu.. na nlikuwa mtata kudai "masesa" kila nkienda shoping sokoni..


Haaaaaaaaaaah umenichekesha sana! Hilo neno masesa wageni wengi huwa wanalipenda sana.
 
Ila hiyo Katara Beach Resort imebadilisha hospitality industry ya mji huo.
 
Hapo Azam singida pana kuku wa kufa mtu hakuna broilers, kama Chako ni chako ya Dom, vijana wanakesha halafu naona lodge za mtaa ule zina maboresho kama Friends lodge.
 

Kaka umenikuna sana,ndo hom huko me nipo Mwanza no pm utapata sato fresh mkuu
 
Nimetoka nje ya muji nimeenda kusoya ukhayaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…