Kweli jitathmini, usawa huu ukiwa unabajet kubwa sana hutaweza kufanya maendeleo mengine.ndo mana nikaona nijitafakari, ahsante mkuu
Watu wana dharau, mshahara wangu na robo wanatumia wiki?!Kwa mwezi ni laki 9.
Bado kuna dharura, gesi , bills za maji na umeme.
Mchele na nyama, huwezi pika robo tuu kwa wiki.
Andaa 1M kila mwezi.
Mwambie aache ujinga.
Hahaha hahahaNilivyoiona hiyo sadaka .. nimehisi unaimani kubwa kubwa, Naona nikuache na ulivyojipangia hayo mengine, Mungu anakuwezesha sana
View attachment 1122082
Kama picha inavyojionesha ndugu, wenye uzoefu na ujuzi nipeni maoni na ushauri, taie home 500
Hajui watoto wa kihuni tunaishije, hapo utakuta kanunua set ya vyombo vyote adi vijiko.Watoto wa kishua hao. Hawajuhi hizo mambo venyewe sisi hufanya huku magetoni.
kwenye list ongezea michango ya harusiSo kila week unanunua nguo
Unawapa ndugu pesa kila week..
Safi,unaupendo wa agape
sadaka 75,000/= kwa wiki?Hajui watoto wa kihuni tunaishije, hapo utakuta kanunua set ya vyombo vyote adi vijiko.
Picha linaanza muhuni anasufuria, bakuli na sahani moja, kupika inatangulia mboga linafata dongo paka haruki! Ukikosea mfumo.utapata tabu ya kuosha upya sufuria.
Jeduali lake Lina walakini!ina maana kila siku unakula samaki wa elfu 5 ? karanga za mia saba ?
Atapata akili ya kuoa fasta, mwache kwanza ale kiume atakula mahanjumat akishaoaMmmmmh unamshauri ale bora liende
Atapata akili ya kuoa fasta, mwache kwanza ale kiume atakula mahanjumat akishaoa
anahela ya mchezosadaka 75,000/= kwa wiki?
Tarehe 1/6/2019 nilifanya shopping kwa maandalizi ya Eid, ndio maana matumizi yakawa makubwa.Oa mkuu tena uoe mwanamke mkuda ambae hana matumizi makubwa ya pesa akusaidie kucontrol matumizi ya pesa...... Naona wewe mwenyewe umeshindwa
Tarehe 1/6/2019 nilifanya shopping kwa maandizi ya Eid, ndio maana matumizi yakawa makubwa.
Kwa kawaida huwa inachezea fifty kwa wiki
hahahaha labda atoe boga! Mtu ambaye hata ku budget hela ya kula hawezi hio akili ya kumake 2m anaitoa wapiUshauri wangu hakikisha kipato chako kwa mwezi walau kiwe 2m