Nipo Tayari kukosolewa: Hadi sasa Hakuna mtandao maarufu uliopangika zaidi ya JamiiForums kwa nchi zote za Sub saharan Africa

Hili sikubaliani nalo. Lazima uwajibike na Kila kitu ulichokiweka mtandaoni. Kukwepa kutambulika kwa uliyoyaandika ni njia mojawapo ya kushawishi iwepo furusa ya kuwepo lugha za kuudhi hapa.

Katu hatuwezi kukubali sisi wanachama kindakindaki wa JF.
Okay and you have a point. But kumbuka in the background system lazima ina namna ya ku track ID haijalishi itabadilishwa kwa utaratibu wa sasa au ninao u suggest na hivyo kama kuna maudhui ya kukera na ID ikawa reported bado member atawajibika tu kwa kutumikia adhab kulingana na utaratib kama ulivyo sasa.
Mind you, i believe usifikiri id name hiz unazo ziona ndio hasa JF inatumia ku track members, hapana...unaweza kuta wewe Id yako inatambulika kama TUJITEGEMEE lakin kwenye Database ya users una Unique id number like 0001 ambayo hii ndio huwa hai change hata siku moja kwakua ni automatically generated by default inayotengenezwa na mfumo na hii ndio inatunika kama reference point pindi unapo update kwenda id name nyingine.

Hivyo hii haita ondoa ile dhan ya uwajibikaji lakin itaficha utu wa kale wa mtu machoni pa members wengine.
 
I understand you ingawa idea ya bots hapo naona kama ipo tofauti kidogo na hii ya kuwa na IDs nying like hapa JF.

Bots wanakua fake users (not human) but they always active and their activities kwenye platforn can be traced.

Hapa JF all IDs ni za real users but most of them are abandoned and hence they are inactive.
The count reads high, but you cant trace the activeness of these IDs hapa jukwaani na unakuta id ina some last seen 2018. Lakin huyu mwenye hii ID yuko jukwaan kwa ID nyingine.Sasa huoni kama unajidanganya mwenyewe kuwa una members wengi kumbe ki uhalisia sivyo ilivyo
 
Huijui Nairaland wewee.
Unafikiri kwa kuwashobokea JF ndo watakupa teuzi za u-Mod??
JF ni TZ tu hata KE bado haijatoboa
 
Mtu una sign out wao wanaku sign in, unalalamika wapo kimya wala hawatikisiki, picha hazifunguki, kwa sie wenye App,

Bado sana
 
Naira mbaya mno, mno, ina mpangilio wa hovyo. Sema una content nzuri hasa za IT.
Ila it is very unattractive!
Labda kama wamerekebisha sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…