Nipo Tayari kukosolewa: Hadi sasa Hakuna mtandao maarufu uliopangika zaidi ya JamiiForums kwa nchi zote za Sub saharan Africa

Ukweli ni kwamba mitandao ya wenzetu wanajadili hoja kwa hoja na wanakuwa na data. Tofauti na JF wachangiaji walio wengi tunachangia kishabiki, uwezo wa kujenga hoja haupo na kuna vinara wakuhamisha mantiki ya mijadala kwa kuingiza mambo binafsi na kufanya JF iwe kama NIMBUZZ..
 
Sifa za bure..mtandao kila mara unakorofisha angalia tatizo la picha kufunguka lina muda gani na wanaona fresh tu[emoji706]
 
Nimelifatilia tatizo hili, suluhisho la kudumu ni kutumia browser kama google chrome unayoweza kuipata playstore.

Uongozi wa jamiiforums mlifanyie hili kazi maana wengi sikuhizi wamezoea app.
 
Huwa unaunga bando au unatumia free mode ?

Isije ikawa unatumia free mode kama fb unalalamika hakuna picha.

Hapa huoni picha ?

341848101-935700754237930-1784067960051334829-n.jpg
Picha Ni changamoto Kiongozi punguza ubishi
 
Picha Ni changamoto Kiongozi punguza ubishi
Nimelifatilia tatizo hili, suluhisho la kudumu ni kutumia browser kama google chrome unayoweza kuipata playstore.

Uongozi wa jamiiforums mlifanyie hili kazi maana wengi sikuhizi wamezoea app.
 
yaan iko hv kwa watumizi wa app inasmbua picha nyng hazfunguki yaan, ila ukitumia browser fresh
Nimelifatilia tatizo hili, suluhisho la kudumu ni kutumia browser kama google chrome unayoweza kuipata playstore.

Uongozi wa jamiiforums mlifanyie hili kazi maana wengi sikuhizi wamezoea app.
 
Nimelifatilia tatizo hili, suluhisho la kudumu ni kutumia browser kama google chrome unayoweza kuipata playstore.

Uongozi wa jamiiforums mlifanyie hili kazi maana wengi sikuhizi wamezoea app.
Yaani nitumie browser! basi wangeifuta App isiwepo kabisa kama wameshindwa jambo dogo kama hilo.

Miaka ya nyuma nilikua siwezi kaa masaa au siku bila kuingia humu ila siku hizi kuna muda naweza kukaa hata miezi sijagusa humu na fresh kuna mengi yamepunguza ubora wa jamii forum.
 
Ukweli ni kwamba mitandao ya wenzetu wanajadili hoja kwa hoja na wanakuwa na data. Tofauti na JF wachangiaji walio wengi tunachangia kishabiki, uwezo wa kujenga hoja haupo na kuna vinara wakuhamisha mantiki ya mijadala kwa kuingiza mambo binafsi na kufanya JF iwe kama NIMBUZZ..
Tatizo wabongo wengi Bado tunasumbuliwa na adui aitwae UJINGA
 
Back
Top Bottom