Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

Unachekeshakweli yaani unadai unataka kumwajiri Tajiri mkuu WA DSM umlipe laki 5??
 
Kweli brooo jamaa anaweza kufanya kazi hyo bila kutetereka..naunga mkono hoja
 

Ingependeza zaidi
 
Huyoo. Sio wa laki tano tena mkuu Huyoo sasa amekuwa k
Yule ghidherman wa kenya..
 
Leo wamemuita pale global mtafute aisee
 
Jamaa yupo vzuri hyo kaz atakufanyia vzuri sana. Ila sasa ni Bilionea, je atakubali 500 hyo?
 
This is humanity!

 
Mungu akujalie, hakika wewe ni mbunifu,
Huyu bwana kwa sasa ni kivutio kwa macho ya wengi, hivyo kwa marketing ni chaguo halisi, pia yeye binafsi ni full confidence na hivyo kwenye Presentation yuko fit.
Pia kwa lugha nadhani ni linguistic sababu ni hii.
*Sukuma. *Swahili.English.*Russian.
 
Nchi zilizoendelea huyu bwana ma agents wangekuwa wanagongana mlangoni kwake wampe tender za Marketing, anafaa kutangaza bidhaa, hasa kwenye TV, any takers?
 
Kuna nchi nyingine wana humani fesi wangeshaanzisha go fund me ya kumnunulia Dr nyumba kutimiza ndoto zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…