Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

Unachekeshakweli yaani unadai unataka kumwajiri Tajiri mkuu WA DSM umlipe laki 5??
 
Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.

Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu

Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607
Kweli brooo jamaa anaweza kufanya kazi hyo bila kutetereka..naunga mkono hoja
 
Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.

Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu

Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607

Ingependeza zaidi
 
Huyoo. Sio wa laki tano tena mkuu Huyoo sasa amekuwa k
Yule ghidherman wa kenya..
 
Jamaa yupo vzuri hyo kaz atakufanyia vzuri sana. Ila sasa ni Bilionea, je atakubali 500 hyo?
 
This is humanity!

Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.

Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu

Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607
 
Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.

Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu

Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye

anijulishe kwa simu hii
0653551607
Mungu akujalie, hakika wewe ni mbunifu,
Huyu bwana kwa sasa ni kivutio kwa macho ya wengi, hivyo kwa marketing ni chaguo halisi, pia yeye binafsi ni full confidence na hivyo kwenye Presentation yuko fit.
Pia kwa lugha nadhani ni linguistic sababu ni hii.
*Sukuma. *Swahili.English.*Russian.
 
Mungu akujalie, hakika wewe ni mbunifu,
Huyu bwana kwa sasa ni kivutio kwa macho ya wengi, hivyo kwa marketing ni chaguo halisi, pia yeye binafsi ni full confidence na hivyo kwenye Presentation yuko fit. Pia kwa lugha nadhani ni linguistic sababu ni hii. *Sukuma. Swahili.English.*Russian.
Nchi zilizoendelea huyu bwana ma agents wangekuwa wanagongana mlangoni kwake wampe tender za Marketing, anafaa kutangaza bidhaa, hasa kwenye TV, any takers?
 
Kuna nchi nyingine wana humani fesi wangeshaanzisha go fund me ya kumnunulia Dr nyumba kutimiza ndoto zake
 
Back
Top Bottom