christumaini
Senior Member
- Sep 27, 2010
- 165
- 133
Ni kweli kabisaJamaa kwa cv ile sii wa laki 5
Itapendeza 900!me ntaongeza 60 itapendez zaid[emoji23][emoji23]
Mbona hujasema unakaa wapiWakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.
Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu
Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607
Mimi 900 ingefaa zaidihata me namhitaji zaidi naongeza 50
Ukinisaidia hyo kaz kunpa mm ntashukuru sana mkuu..Tatizo kweli mitandao yetu imejaa utani mwingi mkuu nipo serious 100%
Mkuu kumpta hyo mzee sio kaz rahisi kama unahtaji mfnya kaz m nipo mkuu nipe riziki hyoMkuu huyo mzee huwezi mlinganisha na mtu yeyote kwa sasa katika marketing kwa yeye kukaa sehemu yako ya biashara tu ni milionea
aliyekuambia hana kazi ni nani! pale kijiweni anapkaa yupo kaziniWakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.
Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu
Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607
Dk shika ishakua brand tayar. Jina kubwa makampuni mtafuteni Mzee mfanye nae biashara hasa kwenye mambo ya promotions[emoji3][emoji3][emoji3] [HASHTAG]#itapendeza[/HASHTAG]