Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

Mh! Huyo anaweza kuwaajiri nyie ,level nyengine hiyo , anajua anafanya Nini na kwa Nini...
 
Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.

Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu

Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607
Mbona hujasema unakaa wapi
 
Nadhani kuishi kwake kimaskini si kwa kuwa hana hela ila alikuwa anakwepa iwaliomkata vidole wasimtambue. Hela anayo ila haiko Tz
 
Ukinisaidia hyo kaz kunpa mm ntashukuru sana mkuu..
Mkuu huyo mzee huwezi mlinganisha na mtu yeyote kwa sasa katika marketing kwa yeye kukaa sehemu yako ya biashara tu ni milionea
 
Mkuu huyo mzee huwezi mlinganisha na mtu yeyote kwa sasa katika marketing kwa yeye kukaa sehemu yako ya biashara tu ni milionea
Mkuu kumpta hyo mzee sio kaz rahisi kama unahtaji mfnya kaz m nipo mkuu nipe riziki hyo
 
Pesa ndogo hyo kwa Dr. Angalia elimu yake na mapesa anAyo tarajia kuyapata
 
Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.

Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu

Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607
aliyekuambia hana kazi ni nani! pale kijiweni anapkaa yupo kazini
 
Dk shika ishakua brand tayar. Jina kubwa makampuni mtafuteni Mzee mfanye nae biashara hasa kwenye mambo ya promotions[emoji3][emoji3][emoji3] [HASHTAG]#itapendeza[/HASHTAG]

tena watu wa mitandao kama Tigo watafanya poa sana kumtumia huyu mtu kutangaza promotion zao
 
Back
Top Bottom