Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.

Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu

Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607
 
hata me namhitaji zaidi naongeza 50
 
ningependekeza/kushauri umpeleke kwanza hospital then taratibu nyengine zifate mkuu
 
Lazima mtapaplana tu Dk hayupo Sawa up stairs
 
Hata hatujuwi dhamana yake ilikuwa kiasi gani? 700, 800 au 900?! Au Buku mia nane?...What a guy...Kwenye maisha yangu sijawahi kupigiwa vigelegele, kupepewa na leso, kuonyeshwa kwenye luninga wala kuzungumziwa katika kila kona TZ, mpaka waTZ wa ng'ambo wanamzungumzia huyu bwana, kwenye twitter yupo, instagram yupo, facebook yupo, snapchat yupo, radioni yupo, luninga yupo, serikalini anaongelewa, polisi wakimtazama wanacheka wenyewe, YONO ndio wamemkimbia kabisa, hata hawana hamu naye, wako kimya. Kwa kweli nampa pongezi, hata siku akiitwa na Mwenyezi Mungu ashatengeneza historia, cheers Dr. Shika...
 
Back
Top Bottom