Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Acha tuu tufurahi humu humu mkuu. Hujagundua tuu status yangu? Hujaona nimekupa like pale uliposema "hela zako unawapa mke na mama yako"? Ongezea na mama mkwe wako hapo mbele nikupe like nyingine😀😀Cajojo ha ha ha.. hivi tuache masikhara.. we mrembo umeshaolewa? tusije tukakaa kaa hivi muda ukaenda tukazoeana nikaja kukwambia naomba game ukasema unaniona mimi kama kaka yako... utadhani mimi siwafaham dada zangu. tuwasiliane basi.... muda ndo huu.... sisi wote bado vijana hakuna haja ya kulumbana.