Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua kuna la maana .
Wanaume tuna tabia ya kukataa hatuhongi, ila kwa wale mnaoweza kukaa mamiezi kibaaao bila kula papuchi ndio mtaweza,
Mi ikipita wiki 2 sijagusa papuchi naona kama mwaka, papuchi ya bureee huwezi ipata kwa mda utakao.
Mmmh kunawengine hatuamini katika kukojozwa hah hah hahHongera Mkuu,ni Ukweli mtupu.
Unakuta mwanamke hajawahi kojozwa hata cku moja kidume unafanya kazi kwa ufanisi kwanini asikuhonge na kukuganda
Kama umezoea kuhongwa si utafte mwanaume mkuu awe anakuhudumia....maana iyo type ya wanawake ulosema ckuiz haipo
hiyo huitaji kwenda mganga ndio misimamo ya mwanaume kamili sio unakuwa mlaini unapigwa mizinga ya hovyo ....kama unataka kutoka kwenye uanaume kweli bc utakuwa umepoteza moja ya kanuni muhimu sn ya mwanaumr
Hii misemo mingine mnakaririshana tu...kwahiyo demu mzuri ndo anastahili kujiuza,? Demu mbaya aliwe bure kwa mantiki yako sio?ndugu MADEM WAZURI UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI
we endelea tuu na ubahili wako!!
usione vyaelea...vimeundwaHii misemo mingine mnakaririshana tu...kwahiyo demu mzuri ndo anastahili kujiuza,? Demu mbaya aliwe bure kwa mantiki yako sio?
Nilishawahi kukuchuna [emoji14] [emoji14] [emoji14]Kumbe wanakuponda mchunaji/mpigaa vizinga a.k.a mpiga virungu...
Yan wewe naona umenisema mimi kabisaaaaaanmeona tu niseme pengine naweza pata ufumbuzi au in english solution. Wana jamiiforums,ndugu,marafiki na jamaa zangu nahitaj katika hili mnisaidie.
Kiukwel sababu kubwa inayonifanya nisidumu na mademu wengi ni kuwa MIMI NI BAHILI SANA. MIMI SIJUI KUHONGA NA SITAKI KUHONGA. PIGA UA,KATAKATA,CHOMACHOMA, GARAGAZA, SIHONGI.
Hii tabia nlijifunza zamani sana baada ya kuwa nlikuwa nadate demu flan ambaye alikuwa ana jamaa yake ambaye alikuwa anamkatia pesa. Naye demu akawa ananikatia mimi au ndo anatumia hizo pesa nika msawijishe mitaa ya kati.
Hilo jambo lilinifanya nifikiri sana. Nikaona kumbeeeee.. Ikaja tena nikapata mwngne naye alikuwa hivyo hivyo basi i learnt smethng. Sasa nmekua bado ni mgumu kuhonga.
NIHONGE ILI IWEJE? mimi sinunui penzi hata siku moja. Kama nataka game nataka hata mpenz wangu naye atake game siyo eti mimi ndo nataka yeye hatak kwa hiyo nikalipe. Najiamini raha tunapata wote so why should i pay?
Kama hii itanifanya nisiwe mwnaume acha iwe hivyo. Wanaume wengine mtajua madhara ya kuhonga siku moja. Misichana ya siku hizi mingi ni MANG'AMUNG'AMU( yaani haijatulia) unakaa nalo macho yapo juu juu tu nalo linatafuta wapi pengine pa kuangukia. Mi nlishajifunza kutoweka miguu yote ndani. Na ndo maana dk chache tu msichana anaweza kuwa ex wangu.
Halafu wivu ndo sina kabisa... Naweza nikajua demu wangu amegongwa akija simuulizi navaa ndom nakula mzigo then kama kawaida tu. Mmoja alikuja kigundua kuwa mi nmemla na nikajua jamaa yangu kamla then nikaendelea kumla alishangaa sana. Nikamuuliza why nigombane kwa kiungo chake mwenyewe anaweza tumia atakavyo?
Tabia ya midada ya siku hizi ukichat naye mara mbili tatu tu utasikia naomba pesa ya lunch, au vocha, au mafuta gari nmepark. Manyang'au wakubwa. Mimi sihongi. Ila kama napata msichana anayejiheshimu naweza mpa pesa kama zawadi au msaada. Wapo. Unakaa na msichana miezi 6 hajakwambia ana shida na pesa.huyo oa.
Haya mengine ukiwa naye ni kama una date matatizo. Mara ada chuo haijatosha,mara pesa ya hostel, mara anatatizo anataka lak1 ,mara salary imechelewa, mara anaagiza mzigo kapungukiwa pesa... Hizi mbinu mi nazifaham kitambo sana.
Jamaa zangu wananambia niende kwa mganga anifungue mifuko yangu. Mi ndo maana mpaka leo sitak mpenzi wa uswahilini au njaa kali. Tena asinisogelee kabisa. Na pia demu nikikutaka njia nzuri ya kunikataa ni kuniomba pesa. Sirud tena kwako.