Nipo tofauti na wanaume wengine. Wengi wananambia nikienda kwa mganga ntatibiwa tatizo hili

Nipo tofauti na wanaume wengine. Wengi wananambia nikienda kwa mganga ntatibiwa tatizo hili

nenda kwa mganga tu akuongezee ubahili hakuna kuhongana hongana, kila mtu na msalaba wake ili wakajiuze huko viwanjani si wafanyabiashara.
 
Jamani tunatakiwa tuanzishe chama chetu....mimi si bahili ila sioni sababu ya mwanamme kumhonga mwanamke wakati unamsaidia kumpa gegedo. Ebu jiulize, yeye analala tu, wewe ndiyo ujipinde mgongo, utokwe na jasho mkunduni kisha umhonge demu wakati umemsaidia? Ahh walahi kwa hili niiteni mbahili tu.

Tuanzishe chama Hahaha
 
Halafu mara nying wanawake wa aina yako hata uelewa wao huwa mdogo. Wao wanafikiria tu apigwe kitu apewe pesa. Kwenye uzi imesemwa kabisa mpe pesa mkeo. Au kumpa pesa mke wangu si tatizo. Tatizo ni kwa nyie manungayembe. Wacha niwe mwanaume suruali... Kama unauza tembea na EFD machine kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi kidume mkuu,
Kuhonga kawaida sana,
Wengine ndio vipaji vyetu tumezaliwa navyo kama wewe ulivyo na kipaji cha kupenda free P
 
Jamani tunatakiwa tuanzishe chama chetu....mimi si bahili ila sioni sababu ya mwanamme kumhonga mwanamke wakati unamsaidia kumpa gegedo. Ebu jiulize, yeye analala tu, wewe ndiyo ujipinde mgongo, utokwe na jasho mkunduni kisha umhonge demu wakati umemsaidia? Ahh walahi kwa hili niiteni mbahili tu.
Wanaume tuna tabia ya kukataa hatuhongi, ila kwa wale mnaoweza kukaa mamiezi kibaaao bila kula papuchi ndio mtaweza,
Mi ikipita wiki 2 sijagusa papuchi naona kama mwaka, papuchi ya bureee huwezi ipata kwa mda utakao.
 
Haya kaa na pesa zako na wao wabaki na utamu wao uone nani atayehangaika
Ukitaa kutoa wenzako wanatoa,hivi inakuwaje tupate raha wote alafu we uchukue hela?why
 
Kuhonga kipaji...na vipaji tunatofautiana.
 
Nisaidie kunifafanulia tangazo lake maana ni refu mno.
Yaani amesema yeye hawezi kuhonga mwanamke kwa maana haoni sababu ya kumhonga kwa hiyo ni bora awe bahili tu kwa kuwa wanawake wa siku hizi mambo mengi
 
Haya kaa na pesa zako na wao wabaki na utamu wao uone nani atayehangaika
.
Mwanamke akifikia umri fulani (hitting the wall) atahangaika tuu.
papuchi ya bureee huwezi ipata kwa mda utakao.
.
Your game is flawed.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi kidume mkuu,
Kuhonga kawaida sana,
Wengine ndio vipaji vyetu tumezaliwa navyo kama wewe ulivyo na kipaji cha kupenda free P
.
Never put yourself in a trick bag, women don't appreciate a man who trade money for sex (tricking). What she sees in you, is a guy with no game, trying to pay a woman to stroke his ego. That's weak.
.
Jamani tunatakiwa tuanzishe chama chetu....mimi si bahili ila sioni sababu ya mwanamme kumhonga mwanamke wakati unamsaidia kumpa gegedo. Ebu jiulize, yeye analala tu, wewe ndiyo ujipinde mgongo, utokwe na jasho mkunduni kisha umhonge demu wakati umemsaidia? Ahh walahi kwa hili niiteni mbahili tu.
.
You are on the right track son!
 
Wale wanaojifanya ma loverboy hapa hawasogei.... Maana tumewagonga hasa.sisi wanaume tunaojiamini hatuhongi, hatulipii mapenzi na mademu wakali tunapata. Wengine toka humu humu. Wana appreciate mech zetu. Na maudambwi dambwi tunayowaonesha. Wakiishiwa pesa wanaenda kwa wahongaji ila wakitaka show za kibabe wanakuja kwa wapiga show kali... EPUKA KUHONGA. ISAIDIE FAMILIA YAKO. MSAIDIE MAMA NA BABA YAKO.
 
Mwanaume ambaye hamuhudumii mwenza wake ni demu. Leo vijana mnataka mlelewe Badala ya kutumiza majukumu yenu ya kuwa kichwa cha familia mnataka na nyie mtunzwe na mnaongea bila aibu Kama sifa vile, vaeni sketi wanaume halisi tuwahudumie na nyie. Kama huongi wewe ni demu
 
Haha, mabinti wasengerema sana, yaani msg moja inayofata mzinga, hawacheleweshi!! Mi huwa napotezea nafanya kama sijaona txt, kudadex inatumwa tena na tena!! Kuna mmoja aliniambia "nna shida hadi najishangaa",, nikaona duh!!
 
hiyo huitaji kwenda mganga ndio misimamo ya mwanaume kamili sio unakuwa mlaini unapigwa mizinga ya hovyo ....kama unataka kutoka kwenye uanaume kweli bc utakuwa umepoteza moja ya kanuni muhimu sn ya mwanaumr
 
Kama umezoea kuhongwa si utafte mwanaume mkuu awe anakuhudumia....maana iyo type ya wanawake ulosema ckuiz haipo
 
Back
Top Bottom