Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Ila nyie nyege zikizidi sijui mnazipunguzaje, maana sisi hatukawii kupiga SELFIEHaya kaa na pesa zako na wao wabaki na utamu wao uone nani atayehangaika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nyie nyege zikizidi sijui mnazipunguzaje, maana sisi hatukawii kupiga SELFIEHaya kaa na pesa zako na wao wabaki na utamu wao uone nani atayehangaika
Wee Mpale Wa Wap Ndugu Yangu....??
GuDume umenikumbusha stori ya cashier mmoja kwenye duka kubwa la wahindi maeneo ya town, dada yupo njema mnoo ilikuwa ni chakula ya boss, lunch hours boss anampandisha New African hotel kula mambo, anamuachia na pesa ya kutosha, dada akifunga duka jioni break ya kwanza ghetoni kwa jamaa pale mikumi, jamaa anamtengeneza vizuri sana hata kusimama shida na anamuachia pesa yote aliyopewa na muhindi....
Una dalili za uchoyo...
Kuna rafiki yangu ni bahili kama ww ila kila akiwashwa anakimbilia kununua makahaba sasa najiuliza wale makahaba wanampa bure?.
Daaaa!!!!! Hii inafundisha ngoja wenyewe waje watoe povunmeona tu niseme pengine naweza pata ufumbuzi au in english solution. Wana jamiiforums,ndugu,marafiki na jamaa zangu nahitaj katika hili mnisaidie.
Kiukwel sababu kubwa inayonifanya nisidumu na mademu wengi ni kuwa MIMI NI BAHILI SANA. MIMI SIJUI KUHONGA NA SITAKI KUHONGA. PIGA UA,KATAKATA,CHOMACHOMA, GARAGAZA, SIHONGI.
Hii tabia nlijifunza zamani sana baada ya kuwa nlikuwa nadate demu flan ambaye alikuwa ana jamaa yake ambaye alikuwa anamkatia pesa. Naye demu akawa ananikatia mimi au ndo anatumia hizo pesa nika msawijishe mitaa ya kati.
Hilo jambo lilinifanya nifikiri sana. Nikaona kumbeeeee.. Ikaja tena nikapata mwngne naye alikuwa hivyo hivyo basi i learnt smethng. Sasa nmekua bado ni mgumu kuhonga.
NIHONGE ILI IWEJE? mimi sinunui penzi hata siku moja. Kama nataka game nataka hata mpenz wangu naye atake game siyo eti mimi ndo nataka yeye hatak kwa hiyo nikalipe. Najiamini raha tunapata wote so why should i pay?
Kama hii itanifanya nisiwe mwnaume acha iwe hivyo. Wanaume wengine mtajua madhara ya kuhonga siku moja. Misichana ya siku hizi mingi ni MANG'AMUNG'AMU( yaani haijatulia) unakaa nalo macho yapo juu juu tu nalo linatafuta wapi pengine pa kuangukia. Mi nlishajifunza kutoweka miguu yote ndani. Na ndo maana dk chache tu msichana anaweza kuwa ex wangu.
Halafu wivu ndo sina kabisa... Naweza nikajua demu wangu amegongwa akija simuulizi navaa ndom nakula mzigo then kama kawaida tu. Mmoja alikuja kigundua kuwa mi nmemla na nikajua jamaa yangu kamla then nikaendelea kumla alishangaa sana. Nikamuuliza why nigombane kwa kiungo chake mwenyewe anaweza tumia atakavyo?
Tabia ya midada ya siku hizi ukichat naye mara mbili tatu tu utasikia naomba pesa ya lunch, au vocha, au mafuta gari nmepark. Manyang'au wakubwa. Mimi sihongi. Ila kama napata msichana anayejiheshimu naweza mpa pesa kama zawadi au msaada. Wapo. Unakaa na msichana miezi 6 hajakwambia ana shida na pesa.huyo oa.
Haya mengine ukiwa naye ni kama una date matatizo. Mara ada chuo haijatosha,mara pesa ya hostel, mara anatatizo anataka lak1 ,mara salary imechelewa, mara anaagiza mzigo kapungukiwa pesa... Hizi mbinu mi nazifaham kitambo sana.
Jamaa zangu wananambia niende kwa mganga anifungue mifuko yangu. Mi ndo maana mpaka leo sitak mpenzi wa uswahilini au njaa kali. Tena asinisogelee kabisa. Na pia demu nikikutaka njia nzuri ya kunikataa ni kuniomba pesa. Sirud tena kwako.
Wewe sio gudume bali ni kadume. Unaashindwaje kuhonga!!!! Hata jogoo anahonga
Bora iwe ivo kuliko unampa mwanamke pesa then na yeye anaenda kumpa mwanaume mwingineWanaume suruali utawajua tuu, nyie ndio wale hata mke wako akiomba hela unawaza kuchunwa tuu anavaa kiatu hadi kinatoboka kisa baba toto hutaki toa, ila nyie ndio mkienda baa mnazungusha hata raundi 10 kwa mpigo.
Ila kiufupi bado ladha za papuchi tofauti hamjazijua. Acheni kuvaa ndomu ndio zinazowafanya muwe wabahili.
Hahaha haya nakuona nakuona katka ubora wakoSEE... HUYO JAMAA SASA NDO GUDUME.... BOSS ANAHONGA JAMAA ANAKUJA ANAPIGA SHOW YAKE KALI NA MKWANJA ANAPATA SIKU INAENDA VYEMA..... hawa ndo wanaume tunaotaka dunia ya sasa.. wale wanaume pochi tumeshachoka nao sana..... sasa hivi sisi tunapiga kila aina ya kazi PESA ZETU TUNAKULA NA WAKE ZETU NA WAZAZI WETU. HAPA STORY TU KULA KWENU. ndo kauli mbiu ya sasa.
MBITIYAZA
Cajojo
Valentina
mahondaw
Safi sana wife na mama ndo kila kituaaaaahh sisi wanaume hatuhongi bwana. sisi wanaume tunakuuzia maneno tunapiga game ukitaka bak kama hutaki anza mbele. siku inasogea. niache kumpa mama yangu pesa au atakayekuwa mke wangu na watoto wangu nimpe mtu baki tu ambaye wote tumesikia raha.... aaah wapi sifanyi ujinga huo. hapa kwangu ni kazi tu.
Tunajikanda na maji ya moto!Ila nyie nyege zikizidi sijui mnazipunguzaje, maana sisi hatukawii kupiga SELFIE
Hahah noma sana kiongozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] vyuma vimekaza kwelikweli [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Cc. Joseverest
Hahaha haya nakuona nakuona katka ubora wako
Nilishawahi kukuchuna [emoji14] [emoji14] [emoji14]