Nipo Tunduma, toka mafuta yapande yafikie 2,900 nauli tunalipa 1,000 ya daladala kituo kwa kituo

MTANIKUMBUKA KWA MAZURI YANGU,
Wacha mama anafungua nchi
Na sasa anatunyoosha bila kufokafoka
 
Tumesharuhusiwa kupandisha beeeiiii
 
Tupatie bei ya Zambia
 
Alitamka mwanaccm mmoja kama hutaki kulipa hamia Burundi! Watu wana kufuru hawa ndezi hawa! Na sisi ndio tunamlipa mshahara!
 
Kote ndio bei hiyo hiyo.Wewe unataka ulipe bei gani boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…