Nipo Tunduma, toka mafuta yapande yafikie 2,900 nauli tunalipa 1,000 ya daladala kituo kwa kituo

MTANIKUMBUKA KWA MAZURI YANGU,
Wacha mama anafungua nchi
Na sasa anatunyoosha bila kufokafoka
 
Mimi niko mji wa tunduma toka siku mafuta yapande yafikie 2900 nauli huku tunalipa 1000 ya daladala .kituo kwa kituo...hakuna mamlaka zozote zinazokemea suala hili..wiki ya pili.hakuna trafik wala sumatra wanaochukua hatua...sasa inamaana hiyo ndo bei elekezi? Waziri..wakuu wa wilaya na wahusika wote..sasa hv tunatafta hela kwa ajili ya nauli tu na mafuta ya kupikia.....hebu waangalieee...mimi kinachiniuma siendi kazini tu.napata dharula zingne lazima nisafiri..unakuta nauli tu natumia 4000 hd 6000.hebu piga hesabu unarnda kazini na mkeo..kutafta riziki kwa biashara ndogondogo....mtoe nauli hyo.af mle hko mchana..sasa mnarudi nyumbani na sh.ngapi.isitoshe biashara halali ina faida kidogo
Tupatie bei ya Zambia
 
Alitamka mwanaccm mmoja kama hutaki kulipa hamia Burundi! Watu wana kufuru hawa ndezi hawa! Na sisi ndio tunamlipa mshahara!
 
Mimi niko mji wa tunduma toka siku mafuta yapande yafikie 2900 nauli huku tunalipa 1000 ya daladala .kituo kwa kituo...hakuna mamlaka zozote zinazokemea suala hili..wiki ya pili.hakuna trafik wala sumatra wanaochukua hatua...sasa inamaana hiyo ndo bei elekezi? Waziri..wakuu wa wilaya na wahusika wote..sasa hv tunatafta hela kwa ajili ya nauli tu na mafuta ya kupikia.....hebu waangalieee...mimi kinachiniuma siendi kazini tu.napata dharula zingne lazima nisafiri..unakuta nauli tu natumia 4000 hd 6000.hebu piga hesabu unarnda kazini na mkeo..kutafta riziki kwa biashara ndogondogo....mtoe nauli hyo.af mle hko mchana..sasa mnarudi nyumbani na sh.ngapi.isitoshe biashara halali ina faida kidogo
Kote ndio bei hiyo hiyo.Wewe unataka ulipe bei gani boss?
 
Back
Top Bottom