Nipo UDSM likizo kwa Sista angu, nishaurini, "nirudi kwetu Bunda?

Nipo UDSM likizo kwa Sista angu, nishaurini, "nirudi kwetu Bunda?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo.

Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe wanakatiza, wanatoka jasho hapo wanaenda kuoga na baada ya nusu saa tena wanapita kwa staili hiyo hiyo, huyu kijana anasema hakuelewa sababu ya wao kupita pita kila mara ila kwakuwa yeye ni "mseminary" labda hajui mambo ya mjini, anaomba ushauri!

IMG_2721.jpg
 
Back
Top Bottom