Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hiyo video inaongea mengi, binafsi siwezi kukatiza na bwana mbele ya mdogo wangu tukiwa vile lazima niwe na mipaka kwetu kaka wa kiume ni kama baba tu kwahiyo malezi yanatofautianaNachukizwa na watu km hao wanaofukuza ndg, sjui watu na waliwaruhusu wenyewe 😂
Sijavurugwa manyong'ode nipo sawa me mkali sometimes