Nipo UDSM likizo kwa Sista angu, nishaurini, "nirudi kwetu Bunda?

Nipo UDSM likizo kwa Sista angu, nishaurini, "nirudi kwetu Bunda?

Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo.

Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe wanakatiza, wanatoka jasho hapo wanaenda kuoga na baada ya nusu saa tena wanapita kwa staili hiyo hiyo, huyu kijana anasema hakuelewa sababu ya wao kupita pita kila mara ila kwakuwa yeye ni "mseminary" labda hajui mambo ya mjini, anaomba ushauri!

View attachment 3656262
Hana ndugu Wengine dar au ata rafiki zake Walio kuwa wamepanga Chuo.
 
watu wengine km ******* tuu,

Huyo dg mpk kuwa hapo si walikubaliana??

Kuoga pamoja kwamba ndo mapenzi sana au nn ??

Watafute kazi hao wajita sijui wabunda......

Na dada mtu huku kujiendekeza Hana hata frampeni la kukaanga vitumbua,,

Kujidhalilisha

Aibu utaona wewe manyong'ode Seran
 
Son hiyo video ukiiona utachoka, nilimtag mba aisee🤭
 
Son hiyo video ukiiona utachoka, nilimtag mba aisee🤭
Ungese mtupu huyo mama na kikoi km mifuko ya katani 😂

Hv mdg wako badala umuheshimu ety kuoga ushindwe kuosha mbusus kuoga ndo kuweza

Ashuo
 
Ungese mtupu huyo mama na kikoi km mifuko ya katani 😂

Hv mdg wako badala umuheshimu ety kuoga ushindwe kuosha mbusus kuoga ndo kuweza

Ashuo
Umevurugwa sana, hebu nieleweshe taratibu usipaze sauti sana sasa😂
 
Umevurugwa sana, hebu nieleweshe taratibu usipaze sauti sana sasa😂
Nachukizwa na watu km hao wanaofukuza ndg, sjui watu na waliwaruhusu wenyewe 😂

Sijavurugwa manyong'ode nipo sawa me mkali sometimes
 
Back
Top Bottom