Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Ana ubishi wa kisheria?Atakuwa mfuasi wa lisu huyu
USSR
Bunda atafanyia wapi field , kumbuka vijana wa chuo semista ya kwanza wanakuja na kamba mguuni , semister ya pili nao wanajiita mawinga, wanajua kariakoo, coco beach na masaki yote.Ageuze kibra bunda haraka sana kulinda afya yake ya akili.
Bwana shemeji hataki taa ziwashwe , LUKU inaisha.So chumbani hakuna choo jamani 😂
Huyu nae si angeenda kusomea chumbani kwake mambo gani haya sasa🤣 🤣
Mnauliza maswali badal ya kutoa ushauri wa haraka jamani, msaada please.So chumbani hakuna choo jamani 😂
Huyu nae si angeenda kusomea chumbani kwake mambo gani haya sasa🤣 🤣
Shemeji ana gubu lol 😆Bwana shemeji hataki taa ziwashwe , LUKU inaisha.
Aende kusomea chumbani anapolalaMnauliza maswali badal ya kutoa ushauri wa haraka jamani, msaada please.
Chumba ni kwaajili ya kulala tu na ndio matumizi yake.Aende kusomea chumbani anapolala
Atafanyia kwenye halmashauri ya Bunda.Bunda atafanyia wapi field , kumbuka vijana wa chuo semista ya kwanza wanakuja na kamba mguuni , semister ya pili nao wanajiita mawinga, wanajua kariakoo, coco beach na masaki yote.
Sijui atakuwa "muraa" huyu?Shemeji ana gubu lol 😆
Haya, huu ushaueri namfikishia, ila sasa , field washaanza na ujue barua ya field ni moja tu, hawezi sema anaomba tena na atakuta kumeshajaa.Atafanyia kwenye halmashauri ya Bunda.
Basi avumilie tu hakuana namnaChumba ni kwaajili ya kulala tu na ndio matumizi yake.
chumbani light is dim utaumiza macho na haishauriwi.
Chuo huwa hawakatai kubadilisha kituo kama kuna sababu ya msingi ya kiusalama.Haya, huu ushaueri namfikishia, ila sasa , field washaanza na ujue barua ya field ni moja tu, hawezi sema anaomba tena na atakuta kumeshajaa.
Dada yako kupita na shemeji kueleka msalalni kila baada ya dakika 30 ni "sababu za kiusalama?"Chuo huwa hawakatai kubadilisha kituo kama kuna sababu ya msingi ya kiusalama.