Hiyo video inaongea mengi, binafsi siwezi kukatiza na bwana mbele ya mdogo wangu tukiwa vile lazima niwe na mipaka kwetu kaka wa kiume ni kama baba tu kwahiyo malezi yanatofautianaNachukizwa na watu km hao wanaofukuza ndg, sjui watu na waliwaruhusu wenyewe π
Sijavurugwa manyong'ode nipo sawa me mkali sometimes
Familia za hovyo hawana tofauti na wale wanaoshikana shikana mbele za watu aibu huku naiona mimiHiyo video inaongea mengi, binafsi siwezi kukatiza na bwana mbele ya mdogo wangu tukiwa vile lazima niwe na mipaka kwetu kaka wa kiume ni kama baba tu kwahiyo malezi yanatofautiana