yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Ndo hivyo mkuu...Duuu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivyo mkuu...Duuu! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kuna siku nilienda mkoa flani sasa ile ndugu wanakufosi unafikiaje Lodge na sisi tupo? nikaona sio kesi acha nifikie kwao nikawa natoka usbh narudi usiku siku ya kwanza wakaleta chapati mbili mbili na maharage na chai nikasema poa sio mbaya labda uzungu kesho tena ivo ivo na siku ya tatu vile vile nikaaaga inabidi kesho twende wilayani sina uhakika kama tutarudi au tutalala huko huko, asbh nikatoka na begi langu nikahamia Lodge mbali kidogo na wanapoishi nimekaa siku tatu sasa siku moja jioni nazungukia bar za pale mjini nikakutana na baba mwenye nyumba akashtuka upo ikabidi nizuge ndio tumeingia muda huu tunatafuta chakula tuendelee na safari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haaaaaaah haaaaaah dah nimecheka kama falaMkuu hao walikuwa wapare wenzakeo hao. Jamani kula Kwa mpare ni KAZI aseee chakula Chao kidogo oooo wanabana matumizi wale Watu tena ukute mpare msabato aseee utajuta. Kande halijaungwa na kisamvu hakijaungwa
Na kwa nini ule kakipande tu while una uwezo wa kula kuku mzima?Na kwa nini ule kuku mzima mara moja, tena mwenyewe? Huo ni ulaku tu hakuna kingine...
100% na hakikisha umeshibaUkiwa ugenini usile ukashiba, ukitaka kushiba kula gengeni kabla ya kurudi home
Nimeona heading tu nikajiikuta nacheka sana, ngoja nikaisome sasa😄.Mac Alpho sijui kwanini tu nimekumiss hapa baada ya kuona hii thread... 😂😂
😂😂😂😂😂😂Nimeona heading tu nikajiikuta nacheka sana, ngoja nikaisome sasa😄.
UPDATE:
Sijui ni aina ya watu na familia? By nature tu kila sehemu(miongoni mwa familia) ni walaji haswa, kwahiyo sijawahi kukutana na hii kasumba ya mleta mada.
Binafsi najua kabisa kuwa, hata mimi na wewe tusingetoboa kwenye huo mji😄.
MAISHA NI MAGUMU, mleta mada aelewe hilo.
😄😄😂😂😂😂😂😂
Nasikitika kusema Mimi ningetoboa, si unanifahamu vyema lakini vile ambavyo mie siyo mlaji kabisa...??
Ahsante..!!
😂😂😂😂😄😄
Ninakujua vizuri, usingetoboa.
Ahsante..!!
😂😂😂😂😂😂
Ukinipa tu stress siyo kutoboa nafunga kabisa...
Ahsante...!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao ndio watu wamjini budget za msosi kama wahindi.Gunia tatu za dengu matumizi mwaka mzima kazi kuongeza pilipili tu kuleta ladha.
Sasa gharama yote hiyo ya nini, si ukae lodge tu.Kwani lazima ule ww ushawaletea zawadi na umeona msosi mdogo ikifika mida ya jioni tafuta sehemu kula kitimoto yako kilo na ndizi mbili ukisindikiza na coke ya baridiiiii mchana tafuta hata mama lishe kula wali wako hapo nyumbani wana bajeti zao temana nao kabisa.
Mimi nilikua nikienda kwa shangazi yangu asubuhi natoka nachukua mikate miwili mmoja wa kwao mmoja wangu nanunua na blueband au peanut butter nikifika muda wa chai naiweka yote mezani wanaanza kuleta bajeti eti mmoja ubaki hapo ndipo nawaambia huu nakula mwenyewe ili nisiharibu ratiba zenu huo kuleni nyie mwanzo walipata tabu ila walizoea mchana natoka nikirudi jioni napitia sehemu ya nyama au kuku naagiza chakula najipigia nikirud home nimeshiba nagusa gusa vijiko viwili nalala nikiwa njema kabisa. Kama huna hela kufa njaa tu hamna namna