Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
[emoji23] [emoji23] tuanze lini kutumia picha zetu sasa?Ni yeye orijino...namjua
Inaonekana anajiamini ngoja na sisi tutumie avatar orijino
Dada yangu upo?Yupo nami maeneo ya watu wazima tukibadilishana mawazo ya wajamii JF
Ngoja ifike Novemba Mosi, nitaweka avatar picha yanguAnza ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uoga kijana. Mtafute mtu akuphotoe hiyo picha ya kuonekana kwa mbali sasaNikipata picha ambayo sionekani kwa ukaribu nitaweka
Shida ni km unapost pumba na kuisemasema serikali ya "Mtukufu"
Kumbe.Mwanaume hata awe shababi vipi, mbele ya demu ni kama tetere au ndezi, atanasa tu na mtego!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ila nilocho gundua mshana anafanana na lemutuz
Ngoja nami niweke yangu[emoji39]Mabinti tunaelewa kwanini tumependa apo
Mkuu siku hizi hawatumbuliwi,, wanatenguliwa viuno,,Sijatumbuliwa na yeyote yule View attachment 426134japo niko mbali kidogo! Nitarejea soon
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nami niweke yangu[emoji39]
diragawisaWabheja sana
Afu we brother big unafanana na libraza moja linapigaga job ofc moja hv ya mikopoSijatumbuliwa na yeyote yule View attachment 426134japo niko mbali kidogo! Nitarejea soon
[emoji116]Ona anavyofanana na feza/pesa/mkwanja/ngawira,wenzako wote wameshakimbilia pm wewe unapiga makelele hapa!......hakika utaishia kula kwa macho rafiki![emoji1]Mshana wangu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji173][emoji173][emoji173]
Asa kumbe nini...kweli tupuKumbe.
Thubutu weweKama ni yeye usidhani umemkimbia, atakuwa samekwisha kugonga kimazingara.
Watu walijua wew eti ni scorpionSijatumbuliwa na yeyote yule View attachment 426134japo niko mbali kidogo! Nitarejea soon