Nipo

Nipo

Nikipata picha ambayo sionekani kwa ukaribu nitaweka
Shida ni km unapost pumba na kuisemasema serikali ya "Mtukufu"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uoga kijana. Mtafute mtu akuphotoe hiyo picha ya kuonekana kwa mbali sasa
 
Mshana wangu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji173][emoji173][emoji173]
[emoji116]Ona anavyofanana na feza/pesa/mkwanja/ngawira,wenzako wote wameshakimbilia pm wewe unapiga makelele hapa!......hakika utaishia kula kwa macho rafiki![emoji1]
 

Attachments

  • 1477763958530.jpg
    1477763958530.jpg
    16.9 KB · Views: 26
Back
Top Bottom