ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
haa mi tena nisiwepo? lazma nipo na nitaperfom kabisa ladyfurahia
nashukuru kwa kuwepo kwako ila usifanye mzaha niko serious kweli utakuja siku hiyo kwani nshamwambia jaji hapa akuweke kwenye list ya waimbaji na tena nitafurahi zaidi ukitokea siku hiyo itakuwa jioni saa 11:30 pale leo tupo hapa pub sijui unapafahamu vizuri
acha nikuelekeze shukia kituo cha mwananyamala A, kisha fuaata hiyo barabara ya lami mpaka shuleni yani shule ya msingi mwananyamala kisiwani ukifika pale mpigie Mtambuzi nae atakuja kukuchukua ni hapo hapo pub ipo haiko mbali
hebu tafutamo kabinti kaje kunichukua, Mtambuzi nitakuwa namsumbua bana,....nitashuka pale Mwananyamala A...
Waliosema ndio nadhani wameshinda......
On my way then, najua leo ijumaa mambo mazuri sana lol
ngoja nivunje kibubu changu nikalipie gold membership kumbe buku selasini tuu, easy ila mie wanipe sanduku la posta nitume sitaki kujulikana nitaweka bahasha ndani jina sakapal kisha waniwekee hako kakisoda ka gold, ntawalingishiaje Mentor and watu8 na wifi yangu snowhite ........................???
Hongera pia comments zako ziwe ki gold gold