Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole,Mtoto wangu anatimiza mwaka mmoja ila anapenda sana kula karatasi.
Je, ni tatizo la lishe? Na ni nini dawa yake?
Tafadhali naomba msaada wenu
Mtoto wangu anatimiza mwaka mmoja ila anapenda sana kula karatasi.
Je, ni tatizo la lishe? Na ni nini dawa yake?
Tafadhali naomba msaada wenu
Nashukuru kwa ushauri mzuri. Nafanyia kaziPole,
Menendo wa afya yake ukoje (Uzito vs umri).
Inawezekana kuwa sababu ya ukosefu wa vitamini na madini mwilini.
1: Check kiasi cha damu
2: Mpe multivitamins supplement
3: Balance diet(uwiano mzuri wa matunda/mbogamboga/protini/wanga).
NB: Ikiendelea, onana na saikolojist vs Pediatrician.
We mtoto wa mwaka mmoja anakushinda kumdhibiti?! Kaweke viboko au kakatupe baharini au ghorofani...
Maana watu wengine uombaji wao ushauri huakisi rasmi level zenu za utaahira [emoji23]
Mtoto anavaa nguo za namna hiiMtoto wa mwaka mmoja huwezi control yeye kushika karatasi? Maana kila anachoshika atapeleka msomoni au anavaa nguo za makaratasi?
Ungekuwa wewe kijana kabla hujaja hapa kuomba ushauri ungetumia namna gani za kukadhibiti kabwana mdogo kalikoamua kukata urafiki na uji na maziwa kakaamua kukandamiza makaratasi?!Duhhhh[emoji15][emoji15][emoji15]