Loimata
JF-Expert Member
- Dec 1, 2022
- 749
- 1,741
Habari wapendwa.
Naomba utizame majani ya hili ua then unitajie dawa inayoweza kuokoa hili ua lisife.
Nitabarikiwa kama atanishauri mtu mwenye uhakika na anachoongea mana mpaka nakuja kutafuta msaada hapa nishapoteza 115K kuokoa ua langu lakini sioni likipona.
Napata huzuni kila nikiona majani yake yanakua ya njano,shina limekua kama limevimba vimba hlf lina vitu vyeupe vyeupe,halina furaha na halitoi maua yake mazuri kama zamani😭😭😭q