Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume mnaitwa huku....Ila mnisamehe bure kama nitamkwaza mtu lkn jamani hii post imenionesha kuwa wengi wetu hali ni ngumu sana.I sweat sikutegemea watu wazima haps kushikia bango 115K.Like seriously?Hiyo ni hela ndogo sana wakuu hebu tutafuteni hela kheeh!!
Sijawachamba mpenzi,nimeshangaa tu,wamekomalia chai chai ndo nikashangaa.Hiyo si hela inakaa kwa handbag unaisahau hadi siku unabeba hiyo pochi ndo unagundua kumbe kuna hela uliachaga humoWanaume mnaitwa huku....
Bora uwachambe, yaani 115k wanaona ni bonge la pesa, wakati nikienda Shishi food ni mlo wa mchana tu....
Wachambe mwaya
Hatari!!!!Sijawachamba mpenzi,nimeshangaa tu,wamekomalia chai chai ndo nikashangaa.Hiyo si hela inakaa kwa handbag unaisahau hadi siku unabeba hiyo pochi ndo unagundua kumbe kuna hela uliachaga humo
baadhi yetu wapenzi wa maua, na hapo zamani tuliwahi kufanya biashara ya kuuza miti ya maua tunajua thamani yake.kwanin uhisi ni uongo mkuu?
Kwani hali ni ngumu sana kias cha kuitana waongo sbb ya kutumia 115k kuokoa kitu unapenda?
Okay,tuseme nadanganya,napata faida gani?
ni ua la ndagu, punguza ushauri!Nje ya mada,
Kwani kununua ua lingine ni bei gani mpaka wewe so far utumie 115K kulitibu?
HatariYaani
agrovet tena? Afadhali horticulturist au kwa uhakika zaidi, floriculturist.Loimata mboga 7, tafuta professionals wa agrovet, hopefully watakupa durable solution.
-Kaveli-
Naona wewe tunaongea lugha moja dear.Mtu asie penda maia hawezi kuelewa.I-9baadhi yetu wapenzi wa maua, na hapo zamani tuliwahi kufanya biashara ya kuuza miti ya maua tunajua thamani yake.
Bahati mbaya nimeshindwa kujua ni mmea gani huo ili niweze angalau kukupa ushauri muafaka.
Je huo mmea unatoa maua au ni wa majani tu kama zile crotons?
Nimemuuliza mleta mada na sio wewe,punguza kushoboka na kujipendekeza.ni ua la ndagu, punguza ushauri!
naona kama yamefanana na jamii ya oleander, hebu jaribu kucheck google halafu kama ni sahihi nikuchekie kwenye vitabu vyangu.Naona wewe tunaongea lugha moja dear.Mtu asie penda maia hawezi kuelewa.
Linatoa maua ya pink.
Kabla ua halijafunguka linakua kwenye kitu kama bamia hivi.
Ngoja nikuwekee picha japo haziko vizuri labda utalijuaView attachment 3014065
Nimegugo ndo lenyewe dear.naona kama yamefanana na jamii ya oleander, hebu jaribu kucheck google halafu kama ni sahihi nikuchekie kwenye vitabu vyangu.
Hayo maua yako pink, meupe na mchanganyiko (very light pink)
Mkuu mwenye uwezo na jukumu la kuhakikisha kila binadamu ana chakula,malazi etc ni Mungu.Kweli Dunia duara. We zako wanapoteza maisha hawana fedha za kuwahudumia hata chakula we una pambana na majani tena siyo cha kula. Ni ua la masharti labda useme.
Mnoo mkuuumekariri vitu mkuu