lipeleke hospitali za mauaHabari wapendwa.
Naomba utizame majani ya hili ua then unitajie dawa inayoweza kuokoa hili ua lisife.
Nitabarikiwa kama atanishauri mtu mwenye uhakika na anachoongea mana mpaka nakuja kutafuta msaada hapa nishapoteza 115K kuokoa ua langu lakini sioni likipona.
Napata huzuni kila nikiona majani yake yanakua ya njano,shina limekua kama limevimba vimba hlf lina vitu vyeupe vyeupe,halina furaha na halitoi maua yake mazuri kama zamani😭😭😭View attachment 3013634qView attachment 3013635
Kwanza atupe maelezo hiyo 115K imetumika kwenye nini na ua halijapona?Muuza madafu wa Ikulu hquna lolote juu ya hili la maua
labda kapeleka kwa wataalamu wa maua afu bado holla mgonjwa kagoma kupona ila tumuulize ua ni la mda gani isije kuwa lina miaka mingi limeshazeeka tyrKwanza atupe maelezo hiyo 115K imetumika kwenye nini na ua halijapona?
Nahisi kuna chai tumepewa tunywe ila hatujagundua bado kama kuna chai yetu hapa.