Nisaidie kuokoa hili ua lisife please¹

Kwanza atupe maelezo hiyo 115K imetumika kwenye nini na ua halijapona?

Nahisi kuna chai tumepewa tunywe ila hatujagundua bado kama kuna chai yetu hapa.
Chai ya malimao hii mkuu bila shaka!
115k?
Hilo ua lina thamani gani?
 
Nje ya mada,

Kwani kununua ua lingine ni bei gani mpaka wewe so far utumie 115K kulitibu?
mkuu inaonesha wewe sio mpenzi wa maua au pets.
Hivi mfano paka wako anaumwa utaacha afe sbb kuna paka wengine wazima.

This flower is my darling,sitaki jingine.Nataka hili hili liendelee kuwa kuwepo ktk maisha yetu.
 
mkuu inaonesha wewe sio mpenzi wa maua au pets.
Hivi mfano paka wako anaumwa utaacha afe sbb kuna paka wengine wazima.

This flower is my darling,sitaki jingine.Nataka hili hili liendelee kuwa kuwepo ktk maisha yetu.

View: https://www.reddit.com/r/houseplants/comments/18v9qi2/help_with_some_kind_of_plague_in_my_palm/?utm_source=share&utm_medium=mweb3x&utm_name=mweb3xcss&utm_term=1&utm_content=share_button
Ingia humo Mkuu,kuna solution kibao zimetolewa na wataalamu.
 
Kwanza atupe maelezo hiyo 115K imetumika kwenye nini na ua halijapona?

Nahisi kuna chai tumepewa tunywe ila hatujagundua bado kama kuna chai yetu

kijana anayeyatunza ndie anayelipambania lisife so kila anavhoshairiwa ananiambia nitoe hela akanunue ila vyote anavyonunua havisaidii mwishowe naona hela zinapotea tu bila mafanikio
 
Huo Mjengo apo upo vizuri...Kama ni kwako Hongera sana kwa kutusua maisha
 
labda kapeleka kwa wataalamu wa maua afu bado holla mgonjwa kagoma kupona ila tumuulize ua ni la mda gani isije kuwa lina miaka mingi limeshazeeka tyr
Lina miaka 6 tu😭😭
Kijana anayeyatunza amehangaika kutafuta ushauri kuliokoa so kila akishauriwa kitu ananiomba hela ananunua ila dawa zote ameshauriwa hazijatusaidia ndo mana nikaja hapa ili nisizidi kupoteza hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…