Nisaidie kuokoa hili ua lisife please¹

Hivyo vyeupe ni nziweupe hawa wanafyonza maji kwenye majani na shina, ni rahisi kuwaua kwa kuwanyunyuzia dawa ya kuua nziweupe kila siku na maji ya kutosha, dawa zipo nyingi tu na bila pampu ni bure.
Wewe ni padri au mchungaji? Naona mti upo kwenye eneo la kanisa, nakushauri fanya maombi na ukemee, kwa ziada baada ya dawa.
 
quality ya picha zako ni mbaya sana
 
Loimata mboga 7, tafuta professionals wa agrovet, hopefully watakupa durable solution.

-Kaveli-
 
ngoja nitamuonyesha bosi wangu wa zamani mtaalamuna mama wa kizanaki
. nitafanyaa mpaka ukishindwa waliyokushauri washika dau
 
Ila mnisamehe bure kama nitamkwaza mtu lkn jamani hii post imenionesha kuwa wengi wetu hali ni ngumu sana.I swear sikutegemea watu wazima haps kushikia bango 115K.Like seriously?Hiyo ni hela ndogo sana wakuu hebu tutafuteni hela kheeh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…