Nisaidie kupata hivi vitabu halafu tutalipana namna hii

Nisaidie kupata hivi vitabu halafu tutalipana namna hii

Nami nachomekea hapa hapa kwenye uzi wako. Huwa natafuta kitabu cha "Kuku na Mwewe" nilikisoma nikiwa darasa la pili. Hela nzuri itatolewa kwa atakayekipta
 
Someni kwa Furaha hata mimi pia nakihitaji, ukikipata nijulishe. Kinahuisana na safari ya Bulicheka na mke wake Elizabeti. Bulicheka alikuwa mwalimu wa shule ya Kilakala

Shule ya sekondary kilakala iliyopo Morogoro ??
 
Yeye huyo mke alikuwa anaitwa Elizabeta, hilo la Elizabeti kabda ndiyo vitabu vya akina Mkuki!
Uko sahihi kabisa, kumbe una kumbukumbu nzuri sana. Kitabu kingine kinachofanana na hiki kilikuwa kina title "Someni bila shida"
 
Uko sahihi kabisa, kumbe una kumbukumbu nzuri sana. Kitabu kingine kinachofanana na hiki kilikuwa kina title "Someni bila shida"

Hivi vitabu vyote original vipo pale Ndanda Press kule Masasi! Kila kitabu cha zamani kipo pale!
 
Yes vinauzwa, ni bookshop kubwa!
Ngoja niwatafute. Mchana nimepiga simu kumbe ni watu wa kiwanda cha maji, kumbe ndiyo wanatengeneza maji ya ndanda. Kama unamawasiliano ya watu wa uchapaji naomba unisaidie?
 
Hivi vitabu ni hazina sana. Kwamba waandishi siku hizi wamekwisha au ni matokeo ya kulazimisha watu kusoma Sayansi za kukalili?
 
Ngoja niwatafute. Mchana nimepiga simu kumbe ni watu wa kiwanda cha maji, kumbe ndiyo wanatengeneza maji ya ndanda. Kama unamawasiliano ya watu wa uchapaji naomba unisaidie?
Hii pupa uliyonayo ni rahisi sana kupigwa.
 
Back
Top Bottom