Wakuru wanjara
Member
- Jan 31, 2013
- 5
- 0
Labda madaktari waje washauri kitaalamu zaidi...
Binafsi naona hilo ni tatizo la kukosa 'nyege'
Unapo'do' huwa unafika 'tamati' kawaida? Una uhakika 'me' huwa imekufit vizuri wakati wa tendo au zote hukupwaya?
hebu pendelea kale kasupu ya pweza kama week hivi kabla ya kudo,halafu just ondoa hayo mawazo kwamba wewe haujisikii raha,je miuno unaikata?mwenzako anazo chenga?au akipata mpira anakimbilia goli?ukiona vipi tafuta mpwiati
kuna aina mbili ya wanawake kufika orgasm ya kwanza ni absolute ambayo hata iweje mtu hawezi fika kileleni na ya pili ni situational ambayo mwanamke anashindwa kufika kileleni kwenye mazingira fulani tu. mfano akipiga punyeto anafika ila akido hafiki, umewahi piga punyeto? au akifanyiwa cunnilingus (chumvini) anafika lakini akido hafiki. jaribu vitu hivi viwili ili ujue upo upande gani. pia nina swali, kukosa kwako hamu ya ngono kulikuwapo toka zamani kabla hujajua hauwezi fika kileleni au kumeanza baada baada ya kugundua hufiki kileleni?
Pole kwa kukosa uhondo Ladypeace, mimi nadhani hilo ni tatizo ambalo lipo kwa wanawake wachache. Mimi nina rafiki ana 50+ years, kaolewa na ana watoto watano lakini nae tangu azaliwe hajawahi kusikia huo utamu. Kuna kipindi ilimchanganya sn kiasi ambacho ilibidi awe mhuni alale ovyo na wanaume tofauti kwa kuhisi kuwa labda mumewe hajui kufanya au kumuandaa lakini wote aliotembea nao hali ilikuwa ni ile ile. Yeye umri umeenda so ameamua kugive-up ila wewe jaribu kuhangaika labda kuna dawa za hospitali au kienyeji (wahaya mnajua sn madawa ya kienyeji)..... uliza kwa ndugu Bk huko labda utapata msaada mapema
umenipa majibu tofauti!, lakini yanaweza kusaidia. je umewahi piga punyeto au kufanyiwa cunnilingus(chumvini)?. jaribu vitu hivi kama haujawahi halafu uje na feedback. kwa majibu yako naanza kuhisi una hypoactive sexual desire disorder ambapo mtu anakuwa na hamu kidogo sana ya kufanya ngono na inahitaji tiba ya kisaikolojia. so unaweza kutafuta mwanasaikolojia au ukajisomea kutoka vyanzo mbalimbali kuhusu hypoactive sexual desire disorder na female orgasimic disorders (hii njia inaitwa psychoeducation).Mimi since niko school campany yangu ilikuwa wakaka sikuwa na boyfriend hadi niko almost miaka 24 hivi ndo nika do first time hata kabla ya kuwa in relation nilikuwa hata sina zile za kuwazia issue za mapenzi ,nilivo do'first time kwa nikasikia maumivu nikaka mda sana almost mwaka sijadoo nilivokuja doo tena second time sikusikia chochote kwa sababu sikuwa na campany ya kike nilikosa wakumuuliza nikapotezea badae nikajastick inrelation seriously lakini hali ikawa hiyohiyo mpaka leo.
supu kunywa kabakuli kamoja kamoja tu,pendelea sana ila inaotengenezwa na wapembapande za magomeni pale,au mwenge,daa hata mi mpwiati nausikia tuu,jaribu kuulizia kwa wale wauza madawa ya kienyeji usiende kwa waganga,kuna maduka ya dawa za kienyeji just ulizia watakupatia
umenipa majibu tofauti!, lakini yanaweza kusaidia. je umewahi piga punyeto au kufanyiwa cunnilingus(chumvini)?. jaribu vitu hivi kama haujawahi halafu uje na feedback. kwa majibu yako naanza kuhisi una hypoactive sexual desire disorder ambapo mtu anakuwa na hamu kidogo sana ya kufanya ngono na inahitaji tiba ya kisaikolojia. so unaweza kutafuta mwanasaikolojia au ukajisomea kutoka vyanzo mbalimbali kuhusu hypoactive sexual desire disorder na female orgasimic disorders (hii njia inaitwa psychoeducation).
Asante wangu ila bahati mbaya kwangu tu ila nikijua naenda kudo najiandaa vizuri naepusha mawazo ya maudhi nazima hadi simu naconsetrate utazani nafanya mtihani but nothing,
Sijui kama ulichoniuliza nakijua vyema punyeto unamaanisha ile kujichezea chezea right?kama ni hiyo hunitokea once nikiangalia picha za x huwa fell kufanya sex kwambali sana nikijishikashika kwenye 'mimi'huwa nahisi raha fulani fasta then inakata.ila hii CHUNVINI siijui ndo nasikia hilo neno kwako.
Leah am a women remembar?how do I satisify my men !