Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

Labda madaktari waje washauri kitaalamu zaidi...
Binafsi naona hilo ni tatizo la kukosa 'nyege'
Unapo'do' huwa unafika 'tamati' kawaida? Una uhakika 'me' huwa imekufit vizuri wakati wa tendo au zote hukupwaya?

Ndugu yangu nashukuru kwa swali lako ila bahati mbaya
Hili swala la kufika Tamati silijui maana sijawahi sikia lolote wala jua lolote kuhusu masuala ya sex mi nafanyaga tu bora liende ila hili la YOU liko sawa kabisa.
 
hebu pendelea kale kasupu ya pweza kama week hivi kabla ya kudo,halafu just ondoa hayo mawazo kwamba wewe haujisikii raha,je miuno unaikata?mwenzako anazo chenga?au akipata mpira anakimbilia goli?ukiona vipi tafuta mpwiati
 
Haya hiyo supu nakunywa kiasi gani na kwa siku ngapi?tuko vizuri kwa shughuri ,mpwiati ni kitu gani wangu?
 
kuna aina mbili ya tatizo la wanawake kutofika orgasm ya kwanza ni absolute ambayo hata iweje mtu hawezi fika kileleni na ya pili ni situational ambayo mwanamke anashindwa kufika kileleni kwenye mazingira fulani tu. mfano akipiga punyeto anafika ila akido hafiki, umewahi piga punyeto? au akifanyiwa cunnilingus (chumvini) anafika lakini akido hafiki. jaribu vitu hivi viwili ili ujue upo upande gani. pia nina swali, kukosa kwako hamu ya ngono kulikuwapo toka zamani kabla hujajua hauwezi fika kileleni au kumeanza baada baada ya kugundua hufiki kileleni?. jaribu punyeto afu uje utupe feedback.
 
Pole kwa kukosa uhondo Ladypeace, mimi nadhani hilo ni tatizo ambalo lipo kwa wanawake wachache. Mimi nina rafiki ana 50+ years, kaolewa na ana watoto watano lakini nae tangu azaliwe hajawahi kusikia huo utamu. Kuna kipindi ilimchanganya sn kiasi ambacho ilibidi awe mhuni alale ovyo na wanaume tofauti kwa kuhisi kuwa labda mumewe hajui kufanya au kumuandaa lakini wote aliotembea nao hali ilikuwa ni ile ile. Yeye umri umeenda so ameamua kugive-up ila wewe jaribu kuhangaika labda kuna dawa za hospitali au kienyeji (wahaya mnajua sn madawa ya kienyeji)..... uliza kwa ndugu Bk huko labda utapata msaada mapema
 
kuna aina mbili ya wanawake kufika orgasm ya kwanza ni absolute ambayo hata iweje mtu hawezi fika kileleni na ya pili ni situational ambayo mwanamke anashindwa kufika kileleni kwenye mazingira fulani tu. mfano akipiga punyeto anafika ila akido hafiki, umewahi piga punyeto? au akifanyiwa cunnilingus (chumvini) anafika lakini akido hafiki. jaribu vitu hivi viwili ili ujue upo upande gani. pia nina swali, kukosa kwako hamu ya ngono kulikuwapo toka zamani kabla hujajua hauwezi fika kileleni au kumeanza baada baada ya kugundua hufiki kileleni?

Mimi since niko school campany yangu ilikuwa wakaka sikuwa na boyfriend hadi niko almost miaka 24 hivi ndo nika do first time hata kabla ya kuwa in relation nilikuwa hata sina zile za kuwazia issue za mapenzi ,nilivo do'first time kwa nikasikia maumivu nikaka mda sana almost mwaka sijadoo nilivokuja doo tena second time sikusikia chochote kwa sababu sikuwa na campany ya kike nilikosa wakumuuliza nikapotezea badae nikajastick inrelation seriously lakini hali ikawa hiyohiyo mpaka leo.
 
Pole kwa kukosa uhondo Ladypeace, mimi nadhani hilo ni tatizo ambalo lipo kwa wanawake wachache. Mimi nina rafiki ana 50+ years, kaolewa na ana watoto watano lakini nae tangu azaliwe hajawahi kusikia huo utamu. Kuna kipindi ilimchanganya sn kiasi ambacho ilibidi awe mhuni alale ovyo na wanaume tofauti kwa kuhisi kuwa labda mumewe hajui kufanya au kumuandaa lakini wote aliotembea nao hali ilikuwa ni ile ile. Yeye umri umeenda so ameamua kugive-up ila wewe jaribu kuhangaika labda kuna dawa za hospitali au kienyeji (wahaya mnajua sn madawa ya kienyeji)..... uliza kwa ndugu Bk huko labda utapata msaada mapema

Asante mpenzi yaani mi nishachoka nimejitahidi kusoma soma kufanya utundu wote holla ilifika mda nikajua labda boyfriend wangu nikaachana nae nikaaishi mda mwingi bila mpenzi nimefall na mtu nampenda lakini naona mchezo ni ule ule yaani hii ni tabu asikwambie mtu niommbeeni yaani ...
 
supu kunywa kabakuli kamoja kamoja tu,pendelea sana ila inaotengenezwa na wapembapande za magomeni pale,au mwenge,daa hata mi mpwiati nausikia tuu,jaribu kuulizia kwa wale wauza madawa ya kienyeji usiende kwa waganga,kuna maduka ya dawa za kienyeji just ulizia watakupatia
 
Mimi since niko school campany yangu ilikuwa wakaka sikuwa na boyfriend hadi niko almost miaka 24 hivi ndo nika do first time hata kabla ya kuwa in relation nilikuwa hata sina zile za kuwazia issue za mapenzi ,nilivo do'first time kwa nikasikia maumivu nikaka mda sana almost mwaka sijadoo nilivokuja doo tena second time sikusikia chochote kwa sababu sikuwa na campany ya kike nilikosa wakumuuliza nikapotezea badae nikajastick inrelation seriously lakini hali ikawa hiyohiyo mpaka leo.
umenipa majibu tofauti!, lakini yanaweza kusaidia. je umewahi piga punyeto au kufanyiwa cunnilingus(chumvini)?. jaribu vitu hivi kama haujawahi halafu uje na feedback. kwa majibu yako naanza kuhisi una hypoactive sexual desire disorder ambapo mtu anakuwa na hamu kidogo sana ya kufanya ngono na inahitaji tiba ya kisaikolojia. so unaweza kutafuta mwanasaikolojia au ukajisomea kutoka vyanzo mbalimbali kuhusu hypoactive sexual desire disorder na female orgasimic disorders (hii njia inaitwa psychoeducation).
 
supu kunywa kabakuli kamoja kamoja tu,pendelea sana ila inaotengenezwa na wapembapande za magomeni pale,au mwenge,daa hata mi mpwiati nausikia tuu,jaribu kuulizia kwa wale wauza madawa ya kienyeji usiende kwa waganga,kuna maduka ya dawa za kienyeji just ulizia watakupatia

Asante ntafanyia kazi fasta nantakupa feedback mkuu.
 
umenipa majibu tofauti!, lakini yanaweza kusaidia. je umewahi piga punyeto au kufanyiwa cunnilingus(chumvini)?. jaribu vitu hivi kama haujawahi halafu uje na feedback. kwa majibu yako naanza kuhisi una hypoactive sexual desire disorder ambapo mtu anakuwa na hamu kidogo sana ya kufanya ngono na inahitaji tiba ya kisaikolojia. so unaweza kutafuta mwanasaikolojia au ukajisomea kutoka vyanzo mbalimbali kuhusu hypoactive sexual desire disorder na female orgasimic disorders (hii njia inaitwa psychoeducation).

Sijui kama ulichoniuliza nakijua vyema punyeto unamaanisha ile kujichezea chezea right?kama ni hiyo hunitokea once nikiangalia picha za x huwa fell kufanya sex kwambali sana nikijishikashika kwenye 'mimi'huwa nahisi raha fulani fasta then inakata.ila hii CHUNVINI siijui ndo nasikia hilo neno kwako.
 
Asante wangu ila bahati mbaya kwangu tu ila nikijua naenda kudo najiandaa vizuri naepusha mawazo ya maudhi nazima hadi simu naconsetrate utazani nafanya mtihani but nothing,

nenda nyumbani kwenu ukaongee na shangazi yako au mama. ndo wanajua walivyo kulea. usijali utapona. otamanya manya kalamanya namanya manyile. mia
 
Sijui kama ulichoniuliza nakijua vyema punyeto unamaanisha ile kujichezea chezea right?kama ni hiyo hunitokea once nikiangalia picha za x huwa fell kufanya sex kwambali sana nikijishikashika kwenye 'mimi'huwa nahisi raha fulani fasta then inakata.ila hii CHUNVINI siijui ndo nasikia hilo neno kwako.

kama vipi uwe unaangalia X ndo uduu badala ya kujichua. achana na kujichua kabisa. mia
 
ladypeace ngoja tuone tatizo liko wapi (kwako au kwa mwenzio).

  1. Umekwishawahi ku-masterbate na ukajitolesheleza bila ya mume?
  2. Ushawahi kupata a wet-dream, i.e., unaota kufanya mapenzi mpaka una-squit au uke unakuwa very wet?
  3. Unapokuwa na mpenzi wako na mka-cuddle, kubembelezwa je uke wako una-respond (wetness)?

Ninachotaka kujua ni kuwa are you capable of achieving orgasm?

Hii itasaidia kuona ni njia gani nzuri ya kufuata.
 
Maombi yatarudisha hisia zako. Hali uliyokuwa nayo si ya kawaida. Sijui nikupe namba ya mtu wa Mungu umpigie akusaidie?
 
Pole kwa matatizo!ila mimi ninamaswali machache kwako!umetuambia una miaka 29 ila umeanza kudoo mwaka 2004 ukiwa na miaka 24!mpaka hapo umetupiga kamba!!kingine nilisoma thread yako nyingine ukawa unasema una boyfriend wewe ndo unampigia simu na kumuwekea vocha,huwa hakutafuti kabisa usipoanza wewe!anzia kwanza kutafakari hilo la boyfriend why anafanya hivyo!je huwa kweli unaconcentrate unapofanya sx au unawaza tuu orgasm??nijibu kwanza swali langu la kwanza tusije tukawa tunapoteza muda kukushauri kumbe ni story za shigongo hapa
 
Kuna kijiji bhukobha kinaitwa "katerero" unakifahamu? kama jibu ni ndiyo umewahi kukitembelea? kama jibu ni hapana mtafute mtu akupeleke.
 
Back
Top Bottom