Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

Mhh waone wataalamu wa afya ili ufurahie maisha dia
 
Pole sana dd. Jaribu kukutana na doctor hospital akufanyie diagnosis na upate ushauri au tiba kitaalam
 


Dada, Asante sana kwa majibu yako. Ni kweli una tatizo na, kwa maoni yangu, tatizo hili si la mwenzio bali ni la kwako.

Kabla sijakupa ushauri napenda kukufahamisha kuwa asilimia kubwa ya wanawake duniani hawafikii kilele (orgasm) katika tendo la ndoa kwa hiyo huko peke yako. Mara nyingi hili ni tatizo la papara za sisi wanaume na sio la wanawake. Wakati mwingi sisi wanaume kama dushelele letu likisimama tu basi hujali kama mwenzio yuko tayari au la - tunaparamia tu na baada ya dakika moja au mbili (at most) tunachemsha - hoi. Wanawake wengi inabidi wajitosheleze wenyewe (masturbation). Pengine itabidi tutafute muda hapa sisi wanaume (kwa msaada wa wakina mama) tujuzane the art of love making and not just jerking-off.

TATIZO LAKO:
Mimi naona hili tatizo ni la kwako. Nitajaribu kueleza tatizo liko wapi lakini NASISITIZA umuone daktari wako (obstetrics/gynecology doctor) ili aweze kukupima na kukupa ushauri mzuri.

Tatizo lako nadhani ni lile wataalam wanaloliita FOD (Female orgasmic disorder) au taahira ya nyege kwa wanawake. Hili tatizo linaweza kuletwa na sababu kuu mbili. Sababu za kumaumbile (physiological factors) au sababu za kisaikolojia (psychological factors).

TATIZO LA KIMAUMBILE:
Nyege (sexual arousal) hutokea wakati mishipa ya damu kwenye kinena (uke ) ikipanuka na kuruhusu damu nyingi kupita kwenye uke. Hii inafuatiwa na ute kuenea kwenye uke wote na kutoa utelezi (lubrication). Hali hii inaendelea mpaka utakapofikia kilele (orgasm). Wanawake wana bahati kuwa wanaweza kufikia vilele zaidi ya kimoja kwenye tendo moja la ndoa kutegemea alihanjamishwa (excited) kiasi gani mwanzoni.


Hii nyege inaweza kuwa tabu kuipata kama:
· Mishipa ya damu kwenye kinena imeathirika hivyo haileti damu ya kutosha.
· Matatizo ya mishipa ya fahamu (nerves or spinal cord) inayokuja kwenye kinena.
· Side effects ya madawa (kama antidepressants, narcotics, nk.)
· Kukeketwa (ambako umesema hukufanyiwa)

TATIZO LA KISAIKOLOGIA:
Hili kwa kweli ni tatizo gumu sana kulijua au kulitibu kwa sababu kuna vitu vingi sana vinavyoweza kukufanya usipende tendo la ndoa. Vitu vinavyoweza kufanya hali hii ni:
· Matatizo ya maisha (fedha, ajira, shinikizo toka kwa ndugu, shule, nk.)
· Mambo yanayokufanya uone tendo la ndoa kuwa ni uchafu kufuatia KUBAKWA ulipokuwa mtoto au mafundisho ya kidini/kimila uliopata wakati ulipokuwa unakuwa.
· Mental health disorder au depression kubwa.

TIBA:
Kwa sababu si rahisi kujua tatizo lako liko wapi, ushauri wangu ni umuone daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake akupe ushauri mzuri.

Samahani sikuweza kukupa tiba ya uhakika. Naomba jumuia inisahihishe ipasavyo kama nimekosea mahala. Lengo ni kupata njia ya kumsaidia mwenzetu.

Nawakilisha.
Nice[emoji106]
 
Yawezekana hamu yako na nye..zako zipo kwenye 0713 umejaribu.[emoji12][emoji12]
 
Jaribu kucheki kiwango chako cha damu huenda ikawa sabbu pia. Damu ikiwa chini ni shida
 
Ndugu yangu pole sana tatizo lako ni dogo sana ila likipata mjuzi umpate mwanaume ambae anafahamu maana ya huba na sio mapenzi tatizo lako ni 1 kati ya haya
1 ni kua mpenzi wako anashinda kukuandaa
2 kashindwa kuijua sehemu yako ya hisia
3 maandalizi ya mapenzi unahisi km ni uchafu
4 hisia zako ziko mbali sana na unapozihisi zinakuja unajilazimisha uonekane shujaa
Ushauri
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa mapenzi ni hisia na ukishikwa ushikike sio umekaa km bubu kwani mapenzi ni sanaa km sanaa nyengine
Ukihitaji ziada ni pm nikupe namba nikueisishe elimu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mimi ni binti mwenye umli wa miaka 29 tokea nilipoamua kujiingiza na maswala ya mahusiano na kuanza kufanya tendo la ndoa sijawahi hisi raha ya tendo hilo hata kidogo.Nilijalibu waeleza lafiki zangu wakanishauli kuwa niachane na mpenzi wangu labda simpendi nimeishi kwa mda nikafall na mtu ninaempenda sana lakini tatizo ni hilohilo tendo hili limekuwa athabu kwangu maana nafanya tu kumlidhisha mpenzi wangu.Mbaya zaidi huwa sipati hamu ya tendo la ndoa hata nikikaa mda mrefu sana bila kuinvolve nalo najisikia tu hamu ya romance na kubembelezwa lakini sex hapana,hii inanipa shida sana kwenye mahusiano maana mpenzi anaweza kuwa ananihitaji mimi wala hata sina mpango nae zaidi naona ananiboa tu.
Naomba nisaidie ninashida ganinaogopa hata kuwazia suala la ndoa maana naona itanishinda.
Ebu ngoja nijaribu kujibu swali hili


1. Kosa kubwa ambalo wanawake wanakifanya nikudhan kila mwanaume anatakiwa kumlidhisha yy,siyo kweli sabu mwanaume anapoanza kufanya tendo la ndoa anachofikilia yy kwa wakat huo ni kumaliza haja yake baaasi ni wanaume wachache sana wanao wafikiria wake zao wakati Wa tendo hilo.

2. Mwamke unatakiwa ujue kuwa kama mwaume hasipo kuandaa vizuri itakuchua mda sana kupata hamu ya mapenzi au kuhisi kama unafanya kitu flani tu na pia unaweza kuwa unaumia tu.

USHAURI WANGU.

We ndo unatakiwa ushike mchezo mzima yaani mruhisu mmeo kuturia na ww ndo uwe dreva.
unaposikia anaitaji kutoka au kufikia mshindo na bado ww upo mbali tulia usiendelee kufanya chochote, unaweza kuanza kumshika shika husimruhusu akate ata kiuno hadi utapoona katulia hii ni kwa sababu mwanamke huendelea ku chemka wakati mwanaume nakuwa anapoa tumia njia hiyo hadi pale utapoona unakaribia, mruhusu mmeo ndo ashike stering unajua kwanini atakuja na kasi ya ajabu basi kwa kasi hiyo kwako itakuwa ushindi.
 
Back
Top Bottom