Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

Kwa uwezo Mungu amenipa na saikolojia ya mapenz ninavyo ielewa mimi. Orgasim yako ipo mbali sana, unamuitaji mwanaume asie na papara pindi yupo nawewe kitandani, pia unaitaji mwanaume ambaye anapenda michezo yakitandan mwenye uwezo wakukushika kila sehemu ya mwili yako yan kama kwa kutumia ulimi,lips,uume na kucha. Pia unaitaji kumpata mwanaume anakudadisi vile unajisikia kwa kila atua ili aweze kukuchezea zaid pale orgasm yako inapanda. Kumbuka tatizo linawasumbuwa wanaume weng nikuwah kukojoa na kuishiwa nguvu yakupanda mtungini, pili wanaume weng gol la pili nitatizo hivyo kuwa vigumu kukupandisha mzuka. Ukifanya hayo na ukawa bado then juwa lipo tatizo. Upande wako either unamsongo wa mawazo,au uliwah kubakwa na imekufanya kuchukia tendo la ndoa au umetupiwa majini ila huko kuna ushauri wake. Asante
Naongezea hapo juu mi tatizo hilo nilikuwa nalo ingawa nimekuja kugundua tatizo halipo kwa mwanaume tatizo lipo kwako kama lilivyokuwa kwangu kwanza una mawazo labda unaelewa au hauelewi kama unampenda uyo mwanaume ili uwe confotable ni lazima ujue ana malengo gani kwako kama ni kukuoa au vip inawezekana unafanya tendo ukiwa na mawazo labda ni dhambi coz sijaolewa kama hana malengo na wewe mtafute mwenye malengo na wewe najua utafurahia tu kama mi ninavyoinjoi sasa.
 
tuwacliane bac mm naweza kusolve hiyo issue. ni-PM

Mimi ni binti mwenye umli wa miaka 29 tokea nilipoamua kujiingiza na maswala ya mahusiano na kuanza kufanya tendo la ndoa sijawahi hisi raha ya tendo hilo hata kidogo.Nilijalibu waeleza lafiki zangu wakanishauli kuwa niachane na mpenzi wangu labda simpendi nimeishi kwa mda nikafall na mtu ninaempenda sana lakini tatizo ni hilohilo tendo hili limekuwa athabu kwangu maana nafanya tu kumlidhisha mpenzi wangu.Mbaya zaidi huwa sipati hamu ya tendo la ndoa hata nikikaa mda mrefu sana bila kuinvolve nalo najisikia tu hamu ya romance na kubembelezwa lakini sex hapana,hii inanipa shida sana kwenye mahusiano maana mpenzi anaweza kuwa ananihitaji mimi wala hata sina mpango nae zaidi naona ananiboa tu.
Naomba nisaidie ninashida ganinaogopa hata kuwazia suala la ndoa maana naona itanishinda.
 
Pole mdada,ila yawezekana kale katia hamu kameondolewa mpaka mwisho, kwani ww umepitia jando?.Tufahamishe ili tuweze kupata mahali pa kuanzia mana umetuacha hewani
kama vile tulikuwa tunawaza pamoja ndugu yangu, ebu aseme kama alipitia mambo ya mila (jando)
 
Kwa uwezo Mungu amenipa na saikolojia ya mapenz ninavyo ielewa mimi. Orgasim yako ipo mbali sana, unamuitaji mwanaume asie na papara pindi yupo nawewe kitandani, pia unaitaji mwanaume ambaye anapenda michezo yakitandan mwenye uwezo wakukushika kila sehemu ya mwili yako yan kama kwa kutumia ulimi,lips,uume na kucha. Pia unaitaji kumpata mwanaume anakudadisi vile unajisikia kwa kila atua ili aweze kukuchezea zaid pale orgasm yako inapanda. Kumbuka tatizo linawasumbuwa wanaume weng nikuwah kukojoa na kuishiwa nguvu yakupanda mtungini, pili wanaume weng gol la pili nitatizo hivyo kuwa vigumu kukupandisha mzuka. Ukifanya hayo na ukawa bado then juwa lipo tatizo. Upande wako either unamsongo wa mawazo,au uliwah kubakwa na imekufanya kuchukia tendo la ndoa au umetupiwa majini ila huko kuna ushauri wake. Asante
Ushauri wako babu kubwa Tumain EL , umenivutia sana ni kweli yote uliyosema wanaume wengi tumekuwa wachoyo na wabinafsi hatuna ile two ways traffic yaani mawasiliano wkt wa kufanya mapenzi na wenza wetu tunachojalii ni kukojoa fast fast then game is over, mtu huyo mbio anakimbilia bafuni kuoga na kuvaa boxer yake then suruali...... na kusema c u baby next time, Ina bidii kuwe na ushirikiano kumuuliza hapo ndio unasikia raha au pale then shikilia hapo hapo mpaka mtu afike kileleni, then mtu mzima unakuja mdogo mdogo unamaliza na wewe , watu wote hoi mmridhika viroho kwatu
 
haya kaka unajua watoto wa kike ni waoga kusema kama wanaenjoy au la atafanya tu ili wewe ulidhike .
 
asante wangu mpendwa ,asante kwa ushauri mzuri ntaufanyia kazi na result yoyote ntalete feedback.

sijawahi pitia jando wala shughuli yoyote ya mila .
 
Asante Ngoshwe nafanya kaka sijakoma hata siku moja naomba nisaidieni nanyi pia.

soma maabdiko haya:

Waefeso 6:10-12 yasema, “Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.”

Marko 16: 15- 18 "Nendeni ulimwenguni kote mkahubiri Habari Njema kwa kila mtu. Anayeamini na kubatizwa ataokolewa; asiyeamini atahukumiwa. Na ishara hizi zitaandamana na wale wanaoamini: kwa jina langu watatoa pepo na watasema kwa lugha mpya. Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. Watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona."

SALI SALA YA KUFUKUZA JINI MAHABA KILA UNAPOLALA:

" BWANA YESU NIPO MBELE YAKO< NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, UNISAMEHE, NAOMBA UNIPONYE KATIKA KILA AINA YA UNGONJWA "(TAJA KILE KINACHOKUSUMBUA)...ASANTE KWA KUNISAMEHE ...NAILETA KWAKO NYUMBA YANGU, FAMILIA YANGU, UKOO WANGU UNIOKOE...NALETA KWAKO MWILI WANGU UNIPONYE, UNISAIDIE KATIKA MASOMO, KAZI, BIASHARA ZANGU NK....NAOMBA UNIBARIKI KAMA ULIVYOBARIKI MAJI YAKAWA DIVAI KATIKA ILE HARUSI YA KANA YA GALILAYA,..NAOMBA UNIPOKEE, UNIPE MATUMAINI MAPYA NIKAFURAHIE MAISHA KWA KADRI YA MAPENZI YAKO, NAFUNGA NGUVU ZOTE ZA SHETANI JUU YANGU ASIPATE TENAFASI YA KUNITAWALA MWILI NA ROHO YANGU..NAKEMEA NGUVU ZA MAPEPO, NAKEMEA NGUVU ZOTE ZA GIZA..ZIKASHINDWE JUU YANGU ..NAJITOA KWAKO EHEE BWANA YESU..NIPIGANIE...UNIREHEMU, NAPOKEA HAYA KWA MOYO WANGU, KATIKA JINA LA BABA, MWANA NA ROHO MTAKATIFU...AMEN!!.

JIONE UPO HURU SASA NA UMEPONA KILA UGONJWA KWA JINA LAKE YESU WA NAZARETI ALIYE HAI.

AMEN
 
am a man an that tabia huwa inaniudhi sana nikiwa na mpenzi wangu. nadhani ni vyema umeuliza plz wenye fani msaidieni kwa niaba ya wengi.
 
soma maabdiko haya:

Waefeso 6:10-12 yasema, "hatimaye, mzidi kuwa hodari katika bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho."

marko 16: 15- 18 "nendeni ulimwenguni kote mkahubiri habari njema kwa kila mtu. Anayeamini na kubatizwa ataokolewa; asiyeamini atahukumiwa. na ishara hizi zitaandamana na wale wanaoamini: Kwa jina langu watatoa pepo na watasema kwa lugha mpya. Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. Watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona."

sali sala ya kufukuza jini mahaba kila unapolala:

" bwana yesu nipo mbele yako< ninatubu dhambi zangu zote, unisamehe, naomba uniponye katika kila aina ya ungonjwa "(taja kile kinachokusumbua)...asante kwa kunisamehe ...naileta kwako nyumba yangu, familia yangu, ukoo wangu uniokoe...naleta kwako mwili wangu uniponye, unisaidie katika masomo, kazi, biashara zangu nk....naomba unibariki kama ulivyobariki maji yakawa divai katika ile harusi ya kana ya galilaya,..naomba unipokee, unipe matumaini mapya nikafurahie maisha kwa kadri ya mapenzi yako, nafunga nguvu zote za shetani juu yangu asipate tenafasi ya kunitawala mwili na roho yangu..nakemea nguvu za mapepo, nakemea nguvu zote za giza..zikashindwe juu yangu ..najitoa kwako ehee bwana yesu..nipiganie...unirehemu, napokea haya kwa moyo wangu, katika jina la baba, mwana na roho mtakatifu...amen!!.

Jione upo huru sasa na umepona kila ugonjwa kwa jina lake yesu wa nazareti aliye hai.

Amen

asante nakuahidi kusali sala hii kila usiku kama ulivonishauri ubarikiwe .
 
Anza kuwasaga wenzio maana ushakuwa na homoni za kiume
 
Pole sana hakikisha kabla ya kufanya tendo mnakuwa mmekubaliana, mmeridhiana, na muandaane vya kutosha maana hisia zako zipo mbali, jamaa akuandae kwa muda mrefu mpaka aone unakaribia na yeye ndo aingie. Wanaume acheni ubinafsi wa kujiangalia ninyi wenyewe na sisi tunahitaji kuenjoy. Halafu na sisi wanawake tuwe wa wazi, wapi unaenjoy, wapi unaumia na wapi hauko tayari, msiwe watumwa wa kuwaridhisha hawa viumbe maana hawaridhiki hata wapewe nini.
 
umekeketwa?

Back
Top Bottom